Kijana wangu amechaguliwa kujiunga form 5 Ndwika girls, naomba masaada wa kupata joining instructions za shule Ile, uniform na mahitaji mengine.
Naomba msaada wenu.
Mimi ni mwalimu Wa masomo ya economics na geography na ninaweza pia kufundisha commerce
Naomba Kama kuna Shule inahitaji mwalimu tuweze kusaidiana na ningependa kufundisha Kama permanent teacher...
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu,
kwa...
nilipomaliza registration! na kulogin kwa account niliyoiregister, natakiwa nipewe reference number ili niweze kulipia application yangu ya chuo lkn sikupewa, hii changamoto ni ngeni kwangu, kwa...
Tumekamilisha!!
Kile kitabu chenye kumsaidia mwanafunzi aelewe anachokisoma na afaulu katika mitihani yake kimekamilika.Kitaanza kuwa mitaani tarehe 19 Sept.Kama unataka mwanao afahamu mbinu za...
Tume ya udahili vyuo vikuu (TCU) imetangaza rasmi sasa kuanzia tar 10 hadi tar 14 kufunguliwa kwa dirisha la udahili awamu ya pili kwa walengwa wote wa
- Waliomaliza form six na stashahada...
Habari, jamani kwa wale waliyofabya registration SUA for bachelor degree nahitaji msada wenu, Nimekwama kwenye malipo kwa njia ya simu,wamenitumia kumbukumbu no/reference no lakin hawajanitumia no...
Je wakati wa kulipa bodi ya mikopo Kupitia M-pesa unajaza index namba ile uliyo tumia nje ya nchi kwenye sehemu ya account namba au kuna manna nyingine... Kama kuna amesomea Uganda na amefanikiwa...
Jamani ushaurii wenu mm nimechaguliwa vyuo viwili tofauti na coz tofauti, nmechaguliwa chuo cha utumishi Wa umma coz ya records management pia nmechaguliwa Nit coz ya logistics and transportation...
Wakuu kama kichwa kinavojieleza hapo juu.Natafuta shule ya Nursery iwe English Medium,maeneo ya Mwenge,Sinza,Makongo. Wawe Na Usafiri (School bus) itapendeza.
Kama wajua nistue.Cost isizidi...
Jaman nimeandikiwa congratulation you have been selected lakn coz zote nilizoomba zipo pale sijajua wanamaana gani naomben ushauli tafadhari wenye uelewa na hili
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.