Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau Nina sawali; Je mtu aliyesoma BVM(bachelor of veterinary medicine) anaweza Fanya kazi Wildlife :kuwatibu wanyama pori???????
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Kwalio walio apply NIT msaada tafazal nkiwa naaply icho chuo pindi nkijiregistr page ya 1 wanataka niandke applicant type lkn nkiandka ipo chaguo moja diploma mi ntaka becholor cjaelewa au mpka...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Ndugu wana JF salute. Mimi nilihitimu form six 2012 nikapata admission UDOM nikasoma mwaka mmoja,kwa kuwa nlikuwa self sponsored hali ilikuwa ngumu nikalazimika kuacha masomo bila ya kutoa...
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari wakuu, nimeona leo ardhi wametoa majina ya waliochaguliwa kozi mbalimbali kwa mwaka 2018/2019; mwenye taarifa zozote kuhusu UDSM; ukizingatia nimeskia TCU wanataka mpaka tarehe 4 wanafunzi...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za majukumu jamani. Napenda kuuliza kuhusu ubora wa MBA itolewayo na chuo cha Archbishop Mihayo University College of Tabora ambayo ni tawi la SAUT. Mimi nimegraduate bachelor yangu...
1 Reactions
18 Replies
4K Views
Huyu mtot wetu ana CBB ya PCB respectively, amekosa MD vyuo vyote ! Nini inaweza kuwa sababu?
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Nahitaji mwalimu mzuri wa form one physics, chemistry, biology na Maths na mwalimu wa commerce, geography, bookkeeping and History awe Dar es salaam crash programme ya siku 10. PM me please
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau Naombeni ushauri kati ya Human resources na Public admistrstion ipi ina wigo mpana???
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Habar wanajukwaa MOJA=Nawaombeni mnisaidie jinsi ya kulipia udom,napewa control number lakin sijui namba ya kumbukumbu ni ipi,naomba msaada hapa JE NAMBA YA KUMBUKUMBU YA KULIPIA MAOMBI UDOM NI...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
wakuu nauliza kama kuna MTU mwenye two kachagiliwa BAED udom mana daah mimi nimeomba hyo koz udom nimetemwa
0 Reactions
51 Replies
5K Views
Msaada wakuu kuna mdogo wangu aliomba chuo cha udm,na Ruaha na Udsm.tareh 4 akatmiwa code za na TCU zikimtaka aconfirm chuo alichoomba.alipoenda internet cafe zile code zinagoma na ile sms imesema...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mimi milichaguliwa multiple selection udom na ifm na nikaconfirm ifm lakini cha kushangaza nmeingia kwenye account yang ya udom nmekuta napo washaconfirm sa nfanyaje jmn
1 Reactions
25 Replies
2K Views
kwanza niwapongeze baadhi yenu vijana chipukizi ambao tayari mmekwisha kujua mustakabali wa wapi mtaenda kuendeleza elimu yenu ya juu na kwa wale ambao bado mnahangaika na code za tcu na harakat...
2 Reactions
20 Replies
3K Views
Habar zenu Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada,, napenda kuwakumbusha wadogo zangu na kaka zangu jinsi nilivo haso kupata mkopo loan board,, Mim ni miongon mwa vijana kutoka familia ya chin...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ningependa kujua kama kuna yeyote aliyechaguliwa kusomea udaktari huku akiwa na pointi 9.
0 Reactions
26 Replies
7K Views
Hiviii mwanafunzi aliyesoma CBG anaweza kusomea Computer Engineering au IT?
0 Reactions
10 Replies
700 Views
Ina maana selection tayari? see bold line below. Nikiingia inakataa! System Closed for Academic Year 2017/2018... STUDENT'S ADMISSION AND VERIFICATION SYSTEM CLOSED The Student's Admission...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Hiviii mwanafunzi aliyesoma CBG anaweza kusomea Computer Engineering au IT?
0 Reactions
1 Replies
571 Views
Salaam wakuu, Naomba kufahamu hatua za kukana uraia A-Z. Nimezaliwa Tanzania na nimekuwa Tanzania lakini baba yangu sio mtanzania, kwahiyo nataka kuukana uraia wa baba. Naomba mnipatie muanga wenu...
0 Reactions
37 Replies
5K Views
Napataje kumbukumbu zangu nilizofungulia account udom kila nkjarbu za mwanzo naambiwa nmekosea username au password
0 Reactions
6 Replies
787 Views
Back
Top Bottom