nimemaliza diploma mwaka huu in crop production, vyeti nahisi vitatoka mwakani lakin transcript tayar nimeipata, je naweza kuomba AVN number kutoka NACTE kwa kutumia transcript pekee bila cheti?
Nimepitia threads nying humu kwenye jukwaa kabla ya selection na baada ya selection , naona mambo yamekua moto before selection kulikuo na tambo za kwamba kuna vyuo vibovu aka shamba la bibi...
Kwa wanaofahamu ukilipia tsh 10,000/= kama pesa ya maombi UDOM inachukua muda gani hadi wao kuipokea na kuonyesha kwenye system kuwa ni paid.
Nimelipia takriban saa moja sasa, ila bado kwenye...
Habari zenu wanajamvi! Naomba mwenye uelewa wa Electronics and telecomonication Engineering (ETE) ajaribu kuielezea in and out hasa ile inayotolewa pale DIT
Kama mwanafunzi amechaguliwa katika kozi fulani chuo kikuu na hajaridhika na hiyo kozi au hicho chuo kwa nini asiruhusiwe kukataa hiyo ofa halafu ajaribu kuomba tena vyuo vingine ili afikie...
Habari Wakuu
Kama nilivyo eleza kwenye kichwa cha habari.nilikua naomba kujua utaratibu wa kusoma nje ya nchi. Nchi kama ujerumani Australia Norway na Canada. Kwa coarse kama Computer...
IPI kati ya kozi hizo hapo juu inahitajika zaidi viwandani katika soko La sasa pia yenye wigo mpana kwenye other field katika ajira na kujiajiri
Naomba kuwasilisha
Mimi nimechaguliwa vyuo viwili Chuo cha mwalim nyerere coz ni BACHELOR DEGREE IN ECONOMOCS OF DEVELOPMENT
>>na Chuo cha Mipango dodoma coz ni BACHELOR DEGREE IN PROJECT PLANING AND MANAGEMENT...
Habari zenu wakuu nakuja mbele zenu katika kupata mawazo yenu ni kozi gani/ipi itanifaa kusomea veta pale keko chang'ombe kwa mwaka wa masomo 2019.kati ya kozi hizi zifuatazo.
1:umeme wa magari...
nimemaliza diploma ya elimu na nina GPA ya 3.6 lakini nashangaa kwenye account yangu wameniandikia you have been rejected from the system reason sijafikisha minimum entry wakat na GPA 3.6 sasa...
Nimechaguliwa udom kwa kozi ya economics and statistics na pia ardhi university nmechaguliwa kozi ya building economics...
Kwa anaejua ipi cozi yenye priority ya mkopo na ajira pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.