Mi ni kjana ninayesoma certificate ktk chuo fulan nataka kujiunga open university kusoma degree kwa muhula huu 2016/17
Je ntaweza kusoma coz nasikia open university ni kwa ajil ya open distance...
Wakuu heshima kwenu;
Tumejidanganya kwa mda mrefu sana, na tunaendelea kujidanya kuwa ,matumizi ya vitisho ,lugha za kejeli na kuwabeza walimu vinaweza kutusaidia katika harakati zetu za...
Asilimia kubwa hasa waliomaliza Diploma level hawapewii vipaumbele katika udahili kwa awamu ya kwanza vyuoni ni nini kifanyike upande wa TCU na vyuo husika?
Nilipitia kwenye orodha ya Vyuo vilivyosajiliwa kudahili na TCU kutoa mafunzo ya shahada mwaka wa masomo 2018-2019 sikukiona hiki chuo nikahisi labda ni Typing error.
ishu ikaja pale ambapo kuna...
Jamani naulizeni Kwa wale waliowahi kusoma chuo cha power computer Posta kilichopo Jengo la SABODO mtaa wa INDIA nisaidie kunipa sifa na uzuri wa chuo hicho
Napenda Kusoma IT BUSINESSES
Definition
Colonial economy was an economy introduction projection Government to
fulfill them. Colonial economy was introduced in order to make production
distribution and consumption of material...
Wakuu nilibahatika kuomba vyuo vitatu ila mungu kasaidia jina langu limekuja kwenye multiple nimepata Iringa university pamoja na SAUT mwanza Ila cha kushangaza mpaka Leo tarehe 6 cjapata...
Me n mwanafunzi nimemaliza PCB mwaka nina 2 ya 12 ila nina CC na S ya phy sasa hawamu ya kwanza niliomba SUA UDSM na UDOM ila nimekosa ingawa nimeapply tena ila mama kankambia nitafute plan B...
Habari wakuu ndo nimetoka ofisi za Tcu pale kivukoni mkabala na ikulu cha ajabu nimewakuta wanafunzi wengi wa multiple admission na ilipofika zamu yangu kuwaeleza nimechaguliwa vyuo viwili but...
Habari ninahitaji msaada nimefanya addisimon ya kuapply sec round kwa mwanangu chuo kikuu cha udsm lakini nilifanikisha kuaapply vizuri tu But kuna haya maneno ninayaona baada ya kuangalia my...
Mpaka sasa sijapata code
Hapa sieelewi cha kufanya TCU ninmewatumia taarifa zote ila mpaka sasa hamna chochote....
Hawa TCU wanaboa kweli, nashindwa nifanye nini maana nipo mkoani na deadline ya...
Mimi ni mmoja wa wanafunzi walioomba vyuo vikuu mwaka huu,lakini sifurahishwi na treatment tunayopewa na watumishi wa vyuo hasa wa idara za admission,kumekuwa na tabia za kutuzimia simu, kutopokea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.