Wanafunzi wa shule ya msingi Mkapa wilayani Kalambo mkoani Rukwa walioshuhudia bayana Mwalimu na msimamizi wao wa mtihani kufa kwenye chumba cha mtihani watakuwa waliathirika kiakili. Hii inaweza...
Wakuu nimependa kushare nanyi hili jambo kuhusu chuo kikuu cha Dodoma....
Kwa walio multiple udom naona ni dhahiri wamekuwa confirmed automatically hata kama uliconfirm chuo kingine wao...
Habari zenu wasomi,
najua ndo mnaparangana ku confirm vyuo now poleni mana wengi mtapata vyuo ambavyo hamkutaka, nilipitia izo boring stuff
kama umechaguliwa S.t augustine mwanza karibu sana hata...
Kwa wanafunzi Muda wa ku- Confirm umeongezwa hadi J.pili saa 6:00 usiku ,tutakuwa makini kuangalia kama Muda uliongezwa utatosha au hautatosha ! Ili tuandike mapendekezo yetu ya muda zaidi...
habari zenu wakubwa
Sisi tuliokosa kuchaguliwa awamu ya kwanza kujiunga vyuo vikuu tuomba kuuliza je awamu ya pili itaanza lini hili tuanze apply mapema
Habari zenu wanaJF.
Nimechaguliwa katika kozi ya bsc of agricultural economic and agrobusness lakini bado sijapata mwanga katika kozi hii hivyo naombeni ushauri wenu
Pia kwa anae fahamu zaidi...
Hapa nimepewa kazi ambayo naona imenishinda ya kumshauri mdogo wangu aliepewa option na TCU kuchagua kati ya Tax Management (CHUO CHA KODI) au Horticulture SUA. Ushauri uzingatie soko la ajira...
NAOMBA MSAADA WAKUU KWA ANAEJUWA
nimechaguliwa BED in Science Ila Sijaipenda Napenda Bachelor of Science with education nifanyeje wakuu? ni Reapply upya au
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu.
Napenda kujua sifa na vigezo vya kupata fully funded scholarship nchini china BACHELOR DEGREE.
Itapendeza kama nitapata maelezo ya ziada pamoja na ushauri...
Heshima kwenu wana JF!
Nina dogo amaemaliza form six na kupata Div 2 ya point 11 na alisoma PCB malengo yake aliomba Bsc in Medicine,Bsc in Laboratory na Bsc in Nursing lakini zote amekosa na...
Habarini wakuu nina rafiki yangu alichagua vyuo vitatu lakini akabahatika kuchaguliwa chuo cha CBE Mwanza lakini hayuko tayari kabisa kwenda hicho chuo anataka kwenda SAUT Mwanza kwan ni moja ya...
Baadhi ya vyuo kama SUA,UDOM sasa hivi wanaweka majina ya usahili(interview) ya nafasi mbali mbali za kazi kwenye tovuti(website) yao,tabia ya kutumia njia ya kupiga simu kuwa ndio njia pekee...
wasalam
kama kichwa kinavyojieleza naomba msaada kujua field kozi hii kujiajiri au kuajiriwa ( hasa kwa wahitimu na wenye uelewa wa kozi hii).
pia nataka kujua kama ina tofauti na bachelor in...
Habari,
Kwa wale waliochagulia UDSM without mulitiple selection, kuna mtu mwingine anaekutana na ujumbe "You have REJECTED this admission offer " ilihali hakukua na sehemu ya kukubali wala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.