Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
TCU naomba sana mlifuatilie... Kuna suala limeibuka la baadhi ya vyuo kufanya confirmation bila ridhaa ya mwanafunzi husika. Jambo hili litasababisha kutokea kwa multiple confirmation na hivyo...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwa mtu aliyesoma accounts alaf akamaliza akaenda kuchukua masterz ya accounts kwenye kazi inakuwa vp ushauri kwa wana jf!
1 Reactions
35 Replies
12K Views
.
0 Reactions
3 Replies
827 Views
Wanajamvi kutokana na destruri ya taasisi hii ya TCU kila hatua kuwa na changamoto zake ambazo kimsingi si za lazima sana lakini kila mara tunajikuta hukohuko tu. Sasa baada ya kuconfirm chaguo la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa mara ya kwanza nilikutana na vijana wa kike na wakiume ambao Kiinglish kimelala. Zoezi la kwanza lilikuwa "Explain about Yourself'' Hapo ilikuwa ni patashika, maana kuna watu hadi tulitungiwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Polen na majukumu wakuu, kwa miaka ya nyuma kulikua na utoaji wa mkopo kwa diploma wanaosoma vyuo vya selikali , naomba kujua kwa ss ivi hili jambo bado lipo? Na kma lipo muombaji anafata...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Vyuo vingi hadi muda huu vishatoa majina yote ya wanaotakiwa kuthibitisha na ambao hawatakiwi kuthibitisha( waliochaguliwa chuo kimoja) KCMC na ninyi toeni majina yote basi ili watu wajue mbivu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kuna wanaotaka tuachane kabisa na Kiingereza badala yake tujifunze kiswahili pekee. Hii inashangaza kwasababu viongozi hao hao wanapeleka watoto na wajukuu zao kwenye shule ambazo hazifundishi...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Tamisemi wametangaza majina ya wanafunzi watakaojiunga na elimu ya sekondari kidatu cha tano kwa awamu ya pili 2018/19. Tembelea www.tamisemi.go.tz Kupakua majina hayo.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom. naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wote ambao hawajachaguiliwa kwa awamu ya kwanza(UDSM) na hawapo kwenye multiple selected applicants wanashauriwa kuomba kwa mara ya pili kuanzia tarehe 6 hadi 10 Septemba, 2018 kupitia tovuti ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu. Nina mdogo wangu aliemaliza kidato cha sita, mchepuo wa PCB. Nakupata alama zifuatazo Physics E Chemistry D Biology E Bam E Je kuna mtu wa mfano wake aliomba akachaguliwa? Je...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Mpaka sasa sijatumiwa code na vyuo vyote nilivyoomba majina wamesha toa hivi niombe tena au niombe vya private tu na wakati huo huo wenye 3 wamepata vyuo huku wenye 2 wakiwa wanaangaika na vyuo tu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu naomba msaada wa majina ya vitabu vizur vya veterinary anatomy
0 Reactions
0 Replies
304 Views
Wakuu nina shida ya soft copy ya vuta n' kuvute mwenye nayo au ninapoweza kupata hiki kitabu please.
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari zinazoenea kwa kasi ni kwamba mwalimu mkuu wa shule ya Msingi Bulyahilu ya wilayani Buchosa Mwanza, pamoja na walimu watatu na mgambo wameiba mtihani wa Kiswahili, wakaufanya na kisha...
4 Reactions
20 Replies
10K Views
Hi, Looking for Tanzanian, living in Poland any one in cities of warsaw, Krakóu, wrockław..polna ideal to any of the rest too. Just to share a familiar environment in those cities and life in...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Udahil wa wanafunz bado unaendelea
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Serikali imesema kuanzia tarehe 01/12/2018 itaongeza mishahara ya watumishi wake wote kwa 40%. Hata hivyo kwa kipindi cha miezi mitatu yaani September, October na November waalimu, na watumishi wa...
0 Reactions
0 Replies
586 Views
Ndugu wana jf at ukikosa first selection unasubir second au unaomba tena
0 Reactions
4 Replies
819 Views
Back
Top Bottom