wakuu msaada
Tangu jana usiku nimekua niki jaribu ku confirm chuo cha ifm.
shida ni kuwa haikubali, error message ninayopata ni : 'Fail to connect to resources, please check your connection or...
Wakuu salaamu
Nashukuru nimechaguliwa UDSM single selection. Sasa nipo kwenye mchakato wa kuhitaji joining instructions form ili nimpe mfadhili wangu ajue ni shiling ngapi analipa.
Please...
Sitaki kuamini kama nina mkosi kiasi hiki! Ina maana nina nini mimi mpaka sasa hivi hizo codes sijazipokea? Nasikitika sana pale ninaposikia kauli eti, "Waombaji wote wameshatumiwa codes"...
Ndugu zangu, habari za wakati huu na poleni sana kwa majukumu?
Hao watoto hapo chini wapo wangapi kwa ujumla kulingana na uwezo wako wa kupambanua challenges?
Ninawasilisha,
Asanteni.
Habari za jioni wakuu aise nilikuwa naambiwa mambo ya kuapply chuo yanastress da u kweli nimejionea wenzangu wameshatumiwa code number Mimi hadi muda huu bado .sema nilikuwa naomba kujua hawa...
Nahitaji kucofirm ifm lakini tatizo ina fail nafikiri kwa sababu natumia simu ombi langu kwenu mwenye pc au Computer anisaidie Ku cofirm namba yangu ya watsap 0745304764
I'M ASKING THE POSSIBILITY OF AN APPLICANT POSSESSING CERT. IN CLINICAL MEDICINE WITH PRINCIPAL PASS OF GRADE DDD IN A-LEVEL PCB IF SHE/HE IS QUALIFYING FOR BACHELOR DEGREE OF MEDICINE.
Leo nimefahamishwa kwamba wale F6 waliokwenda JKT bado hawafujanga mafunzo. Yaani wako kambini. Najiuliza je haya mambo ya confirmation kwa wenye multiple selections na kuomba tena kwa wale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.