Nimechaguliwa kujiungUDOM ila ninahitaji kuihama kozi ambayo nimechaguliwa!!
Je kuna uwezekano wa kuhama kozi hiyo na kama upo je ni hatua gan nitahitaji kuzifuata ili kuihama kiurahisi...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi kupitia idara yake ya uhamasishaji na chipukizi imewatakia na kuwaombea darasa la saba nchi nzima wanaotajia kuanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi...
Ukifungua inakuletea vitu visivyoeleweka, ukitaka kuingia kwenye akaunti yako kuangalia selection results inaleta maruweruwe mengi, watu wa IT udom tunaomba mlifanyie kazi tatizo hili
Jamani mwaka huu walikuwa wanachagua vyuo kwa vigezo gani kwa maana kuna watu kibao wenye Two na One wameachwa kwa mfano kuna dugu yangu ni PCB ana two ya 12 na mwingine TWO ya 11 watu wamekosa...
Wakuu nina kibarua cha kuchagua chuo kimoja kati ya viwili kwa ajili ya bwana mdogo aliepo jkt,Jana usiku saa tatu nilipokea meseji toka namba 15200 ikinambia nahitaji kucomferm kwenye chuo...
Habari JF,nime chaguliwa bachelor degree in biology chuo cha udom naomba kujua niki soma hiyo kozi baadae nta kuwa nani? au nta weza fanya kazi gani kulingana na hii kozi. Mawazo yenu muhim sana
Salam wakuu,
Nimefungua uzi huu maalum kwa wakuu mbali mbali ambao tulipitia pale ifm kuweza kukutana hapa kujuliana hali na kufahamu mawili matatu na kushare experience mbalimbali kuhusu maisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.