Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Baada ku confirm mnapata ujumbe gani? Mm naambiwa not found in multiple selection
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu mwenye majina ya sua atuwekee hapa maana mpaka mda huu kimyaaaa tu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
705 Views
Wakuu mwenye majina ya sua tunaomba ayaweke hapa mbona kimya tuuuuuu mpaka leo Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
431 Views
KWA wale watakaopata bahati ya kuchaguliwa udsm unaweza join group la whatsapp kwa link hii Wellcome @UDSM
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Naimani kna watu wana experience na masomo ya arts na wengine wamesoma ayo lkn nauliza kwa mwanafunzi aliye soma HKL ni kozi gani nzur ya kusoma yenye soko TANZANIA na vyuo vzr vyeny kutoa hizo kozi??
0 Reactions
1 Replies
507 Views
wadau anaesoma sengerema clinical officer C.O anisaidie join instructions ya mwaka jana Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Baada ku confirm mnapata ujumbe gani? Mm naambiwa not found in multiple selection
0 Reactions
2 Replies
826 Views
wakuu nilimuombea mdogo angu vyuo viwili na amefanikiwa kupata DIT na ATC lakini mpaka sasa sijapokea code kwa ajili ya kuthibitisha chuo kimoja wapo nafanyaje katika hili na nipo nje ya DSM...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Baada ku confirm mnapata ujumbe gani? Mm naambiwa not found in multiple selection
0 Reactions
0 Replies
692 Views
Naimani kna watu wana experience na masomo ya arts na wengine wamesoma ayo lkn nauliza kwa mwanafunzi aliye soma HKL ni kozi gani nzur ya kusoma yenye soko TANZANIA na vyuo vzr vyeny kutoa hizo kozi??
0 Reactions
0 Replies
260 Views
Jaman naomba kujua iyo faculty apo juu n marketable na inahusu nn nakarbsha maon Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katibu mkuu wa baraza la mitihani Tanzania Dr Msonde amesema kuwa kuanzia mwaka huu mitihani ya darasa la saba nchini itakuwa na maswali 40 ya kuchagua pamoja na maswali matano ambayo siyo ya...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani hali si hali hatujui cha kufanya na muda ndo hivo tena na si ajabu kesho tukasikie mengine ya kutuumiza wadahiliwa ambao hatujapata hizo code zao. Sasa kwa nini walioko karibu na hizo ofisi...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Naomba kujua mafuta ya kula yasiyotokana na mimea mfano, korie, yanatokana na nini? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
8K Views
kama kawaida yao tcu wamepuyanga kwa mara nyingine mdogo wangu jina halikuja kwa wenye multiple selections ila amechaguliwa vyuo viwili N.I.T na SAUT mwanza sasa hapa hajui afanye nin maana hata...
0 Reactions
2 Replies
689 Views
Kwa alama hz DDE udsm BAED naweza kuchukulia kwa 2nd round? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
741 Views
Wamenitumia code Jana usiku Leo naingiza naambiwa Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu nimetumiwa code muda wa saa mbili dakika 44 usiku huu kutoka TCU. Tupeane updates kwa ambao tumepata wakuu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hivi haya majina yana yo sambaa mitandaoni mbona kinachoandikwa ni tofauti na kichwa cha habari maana ukifungua link unaambiwa haya ndio majina ya walichaguliwa labla mfano SUA lakini ukifungua...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Toka asubuhi najaribu kufanya zoezi hili bila mafanikio,aliefanikiwa atujuze tafadhari.
0 Reactions
1 Replies
882 Views
Back
Top Bottom