Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Huu ni uzi maalum kabisa kwa Wanafunzi wanaoendelea na masomo(Continuing students) na wale Wanafunzi wapya waliochaguliwa (First year students) kuweza kujuzana kuhusu taarifa na mambo mbalimbali...
0 Reactions
25 Replies
8K Views
Nina Dv. 2 pointv 12 DDD je naweza kuchaguliwa UDSM kwa facult ya Bachelor of arts Law Enforcement? maana ndio lilikuwa chaguo langu la kwanza kwa udsm? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Wadau naomba mnisaidie majina ya shule nzuri za girls kwenye hyo mikoa tajwa hapo juu, nina mwanangu nataka nimepeleke moja ya hyo mikoa kwa in urahisi wa maisha ya familia
0 Reactions
34 Replies
14K Views
Wasalam wakuu... Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM hapo, semister iliyopita nilipata CARRY moja na semister ya pili nina CARRY moja na matokeo yangu yameshikiliwa kwa kuwa nilikua...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna mdogo wangu amechaguliwa vyuo vitatu (3), Naombeni Msaada ili abaki na chuo kimoja. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
684 Views
Ukiangalia kwa angle flani unaweza ona hili swala la TCU na hizo "code" za watoto waliodahili vyuoni ni la maksudi ili tu kuonyesha haya maswala ya mamitandao hayafai najua jinsi watu walivyokuwa...
0 Reactions
2 Replies
827 Views
Je,mzumbe wapo fresh kwenye coz ya bsc with edc_math and ict? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
988 Views
Wanangu wa Udom karibun san vijana tujenge nchi, confirm mapema wala usisite ila wale wa (PSPA) political science and public administration mjipange maan siyoo poa[emoji54] [emoji54] Sent using...
0 Reactions
47 Replies
6K Views
Habari wakuu ,Nauliza kama majina ya waliochaguliwa Diploma St.John na RUCU yametoka.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Tuendelee kupeana updates wengine safari bado 2nd round lini na tufanyaje ili tuc temwe tena Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
859 Views
Habari zenu wakubwa mimi ninaomba kusaidiwa jinsi ya kujua( kuangalia) course applicant aliyekua selected kwenye vyuo zaid ya kimoja amepata katika vyuo hivyo ...Asanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari ya asubuhi wakuu....nimechaguliwa chuo.udsm...lkn mpka sasa sijatumiwa msg ya Ku activate....mnanishauri nifanyaje maana deadline kesho Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nipo Dar nataka nirisit kwa ajili ya combi ya Sayansi PCB, nataka kujua gharama za kituo kwa shule za Serikali.
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Nimemaliza kidato cha sita na kuambulia alama zifuatazo yaani:= Mathematics D Geography. D Economics F General study F Ombi langu ni kwamba je!naweza soma elimu ya juu katika kiwango cha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wanafamilia ni kwanini asilimia kubwa ya watu wanaorudia mtihani wa kidato cha nne na sita huishia kufeli. Wakati huohuo anapotoka katika paper hua anakua na uhakika kua atafaulu lakini matokeo...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu naomba msaada wa material ya History na G.S kwa yeyote aliyenayo, iwe past paper, notes au vitabu. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba anijuze tofauti ya maneno haya APA 1.bachelor of science education 2.bachelor of science in education 3.bachelor of science with education Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
667 Views
Habarini wakuu, Tafadhali kwa Anaejua lolote Kuhusiana na iyo Faculty. Kuhusu Mpango wa Ajira ukoje na uzuri wake. Toka Chuo Cha Ardhi. Mnanishauri vipi niende au niachane nayo. Anaejua please...
1 Reactions
2 Replies
733 Views
Viboko/mijeredi vimetumika kwa miaka mingi kama nyenzo muhimu ya kufundishia mashuleni hasa katika elimu za msingi na secondary. Mwalimu haamini kama kuna njia ingine nzuri ya kufanya Kwa...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari wadau: Kwa "Applicants" Wote ambao Mmechaguliwa Kwenye Chuo zaidi ya kimoja na hamjapata code kwaajili ya Ku-confirm, Uvumilivu unahitajika na Muwe wapole. Kila mtu kwa sasa anajua watu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom