I have a question.
Maktaba za huko LA zimeanza Mkakati wa kuwafanya watoto wapende kusoma vitabu kwa kuwaondolea deni la ada Katika shule wasomazo.
Kwa kila lisaa limoja mtoto analotumia kusoma...
Ndugu nilituma maombi chuo cha ardhi kila kitu kilienda sawa ila hapo kwenye TCU status nimeshindwa kupaelewa tatizo ni nini iliniweze kurekebisha maana first round selection nimekosa nataka...
Eti credit ya BAM ni sawa na crredit ya PURE MATH ? Pia wakati wa ku apply course ambazo sifa yake uwe na MATHEMATICS je unaweza kutumia BAM kama ndo kigezo chako ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa yangu anaomba ushauri aconffirm kozi ipi kati ya Pharmacy MUHAS (Muhimbili) na Veterinary Medicine SUA. Ushauri uzingatie ugumu, nafasi ya kujiajiri na kuajiriwa. Zote anazipenda na ana...
Habari wandugu mtoto wangu alichagua kufanya udahili chuo kimoja cha MZUMBE alimaliza diploma level na kupata upper second,lakini cha kushangaza akiingia katika account yake wanamjibu limited...
Poleni sana Kwa wale vijana wenye ufaulu wa chini ya point 4.Mmeambiwa hakuna kwenda chuo kikuu mpaka muuwe na hizo point 4, na NACTE wamesema kua vyuo vya diploma vilivyo vingi nafasi zimejaa...
Unahitaji kurudia mtihani wa form four na six Chemistry and Biology na ni mtu mzima ambae ratiba zako zimekubana mwalimu yupo atakuja akufundishe hapo hapo ulipo muda ule utakaokuwa na nafasi...
tembelea hii tovuti afu login pale juu utafaidika sana sana
www.hibazone.com
tunakaribisha matangazo yote bureee
pia unaweza kutuma makala za biaahara,elimu,uchumi,afya,kilimo,urembo buree...
Samahan nlikua nahtaj ushauri wa course tatu tofaut nahtaj course 1
UDOM , degree of education in adult education and communnity development
NIT, degree of accounting and transport finance
ITA...
Ni cifa zipi za mwanafunz kuchaguliwa chuo kiku kwan mwanafunzi mwenye dv1.8 dv1.9 au dv2.10 hawajachaguliwa hivyo hawana sifa je ni cifa gani zinatakiwa??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.