Tunashukuru TCU hatimaye wametoa majina ya waombaji waliochaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja na wahusika wanatakiwa wa-confirm chuo wanachokitaka. Tatizo ni kuwa hawajaainisha kozi...
Hello wandugu, naona kuna watu wengi wanapata tabu jinsi ya kuchagua kozi mojawapo kati ya alizochaguliwa;
ushauri mwepesi sana mbali ya kuangalia vipaumbele vya fursa za ajira kwa kozi husika etc...
Salaam wakuu.
Naomba kuuliza kuwa je inawezekana kubadilisha chuo kabla hata hujathibitisha ikiwa umechaguliwa chuo kimoja tu?
Taratibu gani za kufuata ikiwa unataka kuhama chuo ikiwa uko chuo...
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree,
naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi.
Asante
Jamani kuna yoyote katumiwa izo code na tcu na sisi tuliopata mzumbe mbona tukiingia kwenye akaunti bad wameandika selection is in progress wakati tushatumiwa msg za kuchaguliwa
Wakuu salaamu
Naona humu jukwaani wanaongelea tarehe tano. Napenda kuwataarifu kulingana na tangazo lao ni kuwa wanataka waliodahiliwa kuthiKuthibi kabla ya tarehe 5. Ikimaanisha Trh 4 mwisho...
Habari jf members? Samahani naomba kufahamu inachukua muda gani mpaka kumaliza CPA kuanzia ATEC, foundation, intermediate hadi CPA nikitumia cheti cha form 4 au 6 bila kupitia diploma wala degree...
habari members!
Jamani natafta chuo kizuri kinachotoa mafunzo ya udereva kwa hapa dar tofauti na VETA Wapo wanaosema niende The Amazon Driving School na The Future World Training Instute msaada...
Habari za kutwa wakuu.?
Naomba msaada jinsi ya kupata code za TCU nilifanya maombi nimedahiliwa zaidi ya chuo kimoja.. Yeyote anaejua jinsi ya kuzipata msaada tafadhar
Sent using Jamii Forums...
Wadau kuna mwenye pdf za hivi vitabu:
Riwaya:
1. *MFADHILI* Mwandishi Husein Tuw na
2. *VUTA NI KUVUTE* mwandishi Shafi Adam Shafi)
Tamthilia
*Kivuli kinaishi* mwandishi Said mohamed
na...
Habari wakuu natumaini hamjambo,
Mimi ni mmoja miongoni mwa wanafunzi waliochaguliwa chuo zaidi ya kimoja na natakiwa ku-confirm chuo ninachokipenda kwa njia ya email
Lakini tatizo ni kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.