Mkuu wa Wilaya ya Kiteto, Mkoani Manyara, Mhandisi Tumain Magesa, anakusudia kuanza ziara kuongea na wananchi vijijini.
Akizungumza hayo Mhandisi Magessa amesema, maeneo atakayofika ni Kata ya...
Huu mwaka wa 10 sijawahi kuona A ya Geography advance na hata olevel A za geog ni chache sana ..sasa wale wanaosema physics ni somo gumu kuliko somo lolote sijui wanatumiaga vigezo gani kwa kuwa A...
SELECTED APPLICANTS TO JOIN DEGREE PROGRAMMES (2017/2018) The University ofDodoma (UDOM) wishes to
inform (i) SELECTED APPLICANTS WITH MULTIPLE ADMISSIONS IN ALL
ROUNDS
(ii) APPLICANTS NOT...
lol
hao waliosoma hizo kombi walikua wanasoma sana jamani,
Leo nataka kujua was it worth?LOL
naomba mliosoma hizi kombi msaidie watoto wafanye right choice..
ningependa kujua;ulisoma nini kati...
Naulizia kuhusu kozi ya environmental science and management, naomba kujuzwa kuhusu faida za kusoma kozi hii..maana nipo dilemma kati ya kozi hiyo na engineering ya umeme
Wana Bodi, wakati naanza Chuo kikuu degree yangu, nilitamani sana kuwa Lecturer ila sasa, nimegraduate na ufaulu mdogo ambao kimsingi hautoshi kuruhusiwa kufundisha chuo kikuu, bidii ya masomo...
Habari zenu wadau!Me ni mwalimu wa sayansi pamoja na computer yaan ICT, nafundisha chemistry, biology na ICT kwa level zote yaan O & A level, pia nafundisha hesabu kwa O level. Natafuta shule ya...
Habari wana jf,naombeni ushauri kuhusu kozi ya pharmacy ya mwaka mmoja kwa ngazi ya cheti...je ajira zake ziko vipi na upatikanaji wake ukoje?kwa ambaye ana uelewa,ushauri please!
Habari za majukumu wadau naomba msaada nimepoteza vyeti vyangu vya kidato cha nne na sita nipo Kahama naanza na process gan hadi kuvipata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna hili swala la wizi ndani ya campas ya mlimani. Mwanzoni nilikuwa nalisikia lakini nilikuwa nalipuuzia as nilikuwa nadhani ni carelessnes ya wahusika. Hatimaye jana yamenikuta!
Jana mnamo mida...
habari wadau..
nipo kwenye research ndogo kuhusu hostel za sinza na mwenge.. ni vizuri nikipata connection ya wanachuo wanaoishi huko.. au waliowahi kuishi hizo hostel..
hata hostel za jirani na...
Natumai hamjambo
Ndugu wanajukwaa la Elimu wenzangu nahitaji kupata msaada wa namna ya kupata nakala ya kitabu(soft copy) ya kitabu cha Ramsden Advanced Chemistry,Kama kuna mtu anaweza kupata.Au...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.