Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Mimi ni mhitimu wa Diploma ya Water supply engineering kwa ufaulu wa GPA ya 2.4,Lakini napenda kujiendeleza nisome elimu ya juu degree kwa course inayohusiana na mambo hayo. sasa naombeni kujua...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika pitapita yangu leo kwa mara nyingine nikitokea jijini nimepita maeneo ya chuo cha kilimo(Sokoine university of Agriculture) Morogoro.Mbali na kilimo kama ilivyo title ya chuo wanatoa coarse...
4 Reactions
112 Replies
16K Views
Kwa wana Jf mnao wajua wa tanzania ambao ni vichwa walio hitimu elimu zao za juu, kuanzia na G.P.A za 4.4 up to 5.0 na sasa ivi wako wapi na wanafanya nini, na Je? G.P.A zao zina impact katika...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Wakuu mimi ni 1st year UDSM/COET. Kama title inavyojieleza naomba nifahamishwe sehemu za kwenda kupata msosi pale mabibo hostel,siwezi kaa campus hata nikipangiwa napenda kaa mazingira mbali na...
4 Reactions
42 Replies
5K Views
Wakuu kwa mwenye ufahamu wowote juu ya lini matokeo ya udahili yatatoka na ni lini muda wa masomo utaanza, Tafadhali naomba anifahamishe.
1 Reactions
50 Replies
8K Views
Salamu wanajukwaa husika na kichwa cha habari hapo juu nilikuwa naomba msaada au taarifa ni lini result slip za mwaka huu za form six zitatoka lini. Maana wengine kwenye kujiunga na jeshi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
A tutor for environmental science and management, biology and chemistry is available. Check through 0676178939
0 Reactions
1 Replies
511 Views
Ulijisikiajeee mtu ambayee ulipata ujumbe kama huu ...baada yaku felii kidato cha nne ...afu ukiangalia wanao kwambiaa watoto wao wamepigaa vizuriii...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari! Mimi in mhitimu wa kidato cha sita 2018 na nimefanikiwa kupata 1.7 G/Studies E BAM E Economics D Commerce A Accountancy B sasa napenda kuuliza je naweza kupata course ya Bcom in Accounting...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya...
0 Reactions
48 Replies
12K Views
VIjana mlio maliza form six au pre first year karibuni chuo chetu ni kizuri sana japo ukija na moyo wako mwepesi tunaeza kuzika kabla ya muda wako Karibu chuo chetu unaeza ukaamua kusoma au...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
THE DOG IN KIVULU by Ralph Bitamazire. The dog in Kivulu, Thin, bony and yawning; The dog in Kivulu, Panting and squatting Like its master. The dog in Kivulu, Barking at naked children, Children...
1 Reactions
19 Replies
5K Views
Wananguze naomba kujua maana ya hili neno mazwazwa na etimilojia yake. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Kuna mdau wangu anasoma TIA mbeya kaniambia amedisco sasa kachanganyikiwa balaa mana 1st semester kafeli masomo mawili kat ya matano na GPA 1.5, 2nd semester kafel masomo matatu kat ya matano na...
0 Reactions
44 Replies
11K Views
Mm nimeomba nacte online koz za AFYA sasa nimejikuta nimefuta mesej yao bila kukalili password sasa nifanyaje ili kuweza kutumia tena profile yangu
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habarini wote. Naomba kwa wale watakaoguswa wanisaidie ushauri. Kuna mtoto wa jirani yangu kapata nafasi ya kwenda kwenye vyuo viwili. Kapata Dar es Salaam Institute of Technology kozi ya...
2 Reactions
40 Replies
10K Views
Naomba msaada kwa mtu yeyote hapo anisaidie mawasiliano ya simu nataka nipate mwanga zaid Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Jamani wapendwa naombeni mnisaidie kujua tofauti ya courses hizo za afya kwa ngazi ya diploma *Ordinary diploma in clinical medicine *Ordinary diploma in pharmaceutical sciences *Ordinary diploma...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Nataka kusomea unahodha ngazi ya cheti yan certificate je.? natakiwa niwe na pas za masomo gan. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Nilifanya application ya vyuo nikafika hadi mwisho wa admission process ila nimesahau pasword nikaingiza user name,m pesa verification code,namba ya sim niliyotumia na email ili kupata pasword...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom