Jamani wapendwa naombeni mnisaidie kujua tofauti ya courses hizo za afya kwa ngazi ya diploma
*Ordinary diploma in clinical medicine
*Ordinary diploma in pharmaceutical sciences
*Ordinary diploma...
Nilihitimu degree 2015 art.. Matokeo yangu ya kidato cha nne sikufaulu masomo vyema mawili , hesabu na historia... Baada ya hali ya ajira awamu hii kuwa kama tumesuswa hivi nataka nirudie mitihani...
Habari za muda huu Wapendwa wanaJF , samahanini Sana, Naomba mnisaidie kwa yeyote Anayeijua Shule ya Sekondari binafsi ambayo Ada yake iko kuanzia Milioni moja kushuka chini, Anijuze mana nina...
Nafahamu vyuo vikuu ni vichache nchini na kila mtu anapenda kusoma chuo kikuu. Lakini kama wewe au familia yako hamna uwezo wa kulipa kwa wakati tafadhali sana usichague kwenda kusoma Vyuo vikuu...
Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia NECTA examiners report A level (especially kwa BIOLOGY,CHEMISTRY,GEOGRAPHY) . Kuna wakati nilipata kama za miaka miwili kwenye mtandao, bahati mbaya flash...
Na Dustan Shekidele, Morogoro
BINTI wa Shule ya Msingi Chamwino amefumaniwa akiwa kimahaba na kijana mmoja aliyedaiwa kuwa ni dereva wa bodaboda mkoani hapa.
Denti aliyefumaniwa (nyuma ya wa...
Jaman nina mdogo wangu yupo form 5 PCB anaitaji viatabu vya ngaiza sasa cjui na vipataje mwenyekujua na bei zake naombeni msaafa
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninaomba kuuliza kuhusu chuo wanachotoa masters ya transport economic/logistics/ or master ya procurement ......
Taarifa ninazozihitaji zaidi ni kuhusu gharama ya chuo; ubora wake na sehemu nilipo..
Naomba kujuwa wakuu mwanafunzi aliemaliza kidato cha sita mchepuo wa CBG Anaweza ku apply course gan za afya ? Naomba jibu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Amani ni kitu cha muhimu sana katika maisha ya mwanadamu,na amani ya kweli hutoka ndani ya moyo.Lakini japo amani ya kweli hutoka ndani ya moyo,ila moyo huwa hauzalishi amani.
Unaweza kuwa na pesa...
Kwa yeyote anae kifahamu viziri chuo kinacho itwa Al-MAKTOUM COLLEGE OF ENGINERING AND TECHNOLOCY
Naomba anijuze ubora wa chuo au una weza kunichek 0718070205 ili anielekeze vizuri
Sent using...
Wakuu naomba msaada anayejua sifa mpya za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017. Kuna dogo langu nilimpeleka private school ana C tatu na D kama tano hiv lakin amekataliwa kufanya mtihani kama...
Huu usemi niliusikia kutoka kwa Mange Kimambi wakati anapata Masters yake nchini Dubai. Nimeutafakari huu usemi na kuona ukweli ndani yake.
Hivi wale wapendwa wetu wa bongo movie wangekuwa na...
Je vp kuhusu soko la ajira katika kozi ya pharmacy kwa ngaz ya diploma NA pharmacy ina sehem gan ambazo mtu anaweza kufanya kazi naomba ushaur
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.