Samahani wadau, ninapata shida kwenye portal ajira kwani niki attach file inasema “The uploaded file exceeds the maximum allowed size in your PHP configuration size”...je ninatatua vipi ili...
Habarini kijana kaniomba ushauri wa kozi za kusoma kwa matokeo ya form four kwa matokeo haya biology B+, geography B, physics C, chemistry C, kiswahili C, English C, kiswahili C. Hana F wala D...
Kwa mara ya kwanza kusikia wagombea wa kiti cha uraisi mwaka 2015, wakijinadi kwa wapiga kula kuwania kiti hiko, maswali mengi yalitawala sehemu mbali mbali katika ubongo wangu baada ya kusikia...
Naomba msaada ili nimsaidie mtu. Kama matokeo yako ya A'level sio mazuri hapa nchi halafu baadae ukaamua kuendekea na masomo Ujerumani kwenye vyuo vizuri. Lakini ukatumia matokeo yako ya O'level...
Wakuu,..naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu hilo swala la online degree ni vyuo gani vizur vinavyotoa hiyo kozi abroad.na pia je,mitihani yake huwa inakuwaje
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani B+ unatakiwa uwe unapata marks ngapi at least kwa kila somo.. on average upate ngapi kwa kila somo upate B+
Approved Minimum Entry Requirements for Health Related Programme (Diploma...
Kuna habari kwamba walimu wastaafu shule za msingi wameanza kuvuta mkwanja wao.
Wadau niambieni mafao ya mwalimu aliyefanya kazi miaka 20 pesa yake inakokotolewaje?
Wengine bado hawajapata.
Mtambo huo umegaunganishwa na Simu janja (Smart phone) ya Mkuu wa shule na msimamizi wa wanafunzi,
Wanafunzi wawili wa kidato cha sita 2018 katika shule ya sekondari ilboru iliyopo mkoani Arusha...
Ivi mtu ambae anafanya mtihan kama pc kwa mar ya kwanza (yaan hakufanya mara ya mwanzo akafeli then aka reseat) je anakuwa saw na yule aliefany mar ya kwanza then aka repeat ?
Sent using Jamii...
Wadau mwanangu ndo anajiandaa kuingia chuoni mwaka huu lakini pamoja na kwamba anatamani sana jeshi, bado hailewi anatakiwa achukue course gani ili baada ya kumaliza degree yake basi akitaka...
Maprofesa waliostaafu (60+) waliokuwa wanaendelea kufundisha kwa mikataba pale UDSM wamenyimwa kuongezewa mikataba, na wameanza kupigwa chini kama mchezo vile ha ha ha!!! hebu fikiria unamuona...
Habari zenu, ningeomba kushauriwa kuhusu hili.Mimi ni kijajana wa Tanzania niliemalizia masomo yangu ya primary na secondary nchini kenya, kwasasa nataka kujiunga na chuo kikuu kenya illa wasiwasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.