2018 CHAPTER BREAKFAST MEETING – INFORMATION SYSTEM AUDIT
21st August 2018 AT 08:00AM-10:30AM
Start your day off right! ISACA Breakfast Meetings offer timely industry information and networking...
Asome ipi kati ya diploma of social work, diploma of accounting or diploma of public accounting and finance.
Nina ndugu yangu anataka kujiunga na chuo,
Je ajiunge na kozi ipi kati ya hizi
1)...
Habari Za Wakati Huu Wanajf!
Ni Matumaini Yangu Mu Wazima.
Niende Kwenye Point, Natokea Kijiji Fulani Wilayani Monduli, Na Hatukuwa Na Shule Ya Msingi Hivyo Tulilazimika Kutenga Eneo Na Baadaye...
Message…wadau naomba kujuzwa kuhusu kubadilisha machaguo udsm hasa kwa kipindi hiki ambacho application zimefungwa je naweza kuingia na kubadili kozi maana nimeingia leo asubuh naona unaruhusiwa...
Hello, Heshima kwenu wakuu
Kama topic inavyoeleza hapo juu, mi ni potential graduate (bado wiki chache nimalize degree ya kwanza ) natamani kuunganisha masters but uchumi hauruhusu, kwa yeyote...
Habar wapendwa.. naomba mwenye namba ya simu ya shule ya Al-hikma au kujua details zake (fee structure) kwa primary student- anatarajia kuanza darasa la kwanza
Nisiongee sana maana Nina hasira na soda yangu niliiweka nikirudi toka mazoezi nije kunywa ila nimekuta imepasuka ndani ya friji tatizo nini,
Nipeni sababu za kisayansi na mniambie siku nyingne...
Mambo vp wadau natafuta mtu wa kubadilishana nae mm nmepangiwa mabibo hostel natafuta mtu aliepangiwa main campus mliman tubadilishane yy aende mabibo mm anipe cha main campus. Kama upo tayar ni PM
Najua kuna wanafunzi zaidi ya 21000 ambao hawakuchaguliwa na wengi wao ni boys wenye III ya 23 na kuendelea ilihali wasichana wenye three ya 25 walichaguliwa hvyo basi wanafunzi msikate tamaa...
habari wakuu.......naomba msaada nilikuwa najaribu kumfanyia application mtu UDSM nilipofika mwisho ikaleta hayo maelezo, inaonesha kama huyo mtu alishakuwa admitted.
hakuwahi fanya application...
Habari ndugu, Nimefanya application DIT kwaajili ya kujiunga degree mwaka huu, lakini nilikosea nilichagua mwanza campus badala ya dar-es-salaaam campus,,,,na ukweki ni kuwa mwanza campus hawatoi...
Habari wanajamvi,
inapotokea mtumishi amefuata taratibu zote za kuomba uhamisho, yaani ameomba nafasi ya kuhamia sehemu kupitia kwa mwajiri na akajibiwa kupitia kwa mwajiri kuwa nafasi ipo na...
The CISA designation is a globally recognized certification for IS audit control, assurance and security professionals. Being CISA - certified showcases your audit experience, skills and...
Habari za humu...
Naombeni mnisaidie hotuba nzuri ya kutoa kwenye graduation ya kumaliza kidato cha nne. Hotuba ya mgeni rasmi.
Najua kuna wenye nazo
Asanteni
Hongera wadogo zangu kwa kumaliza kidato cha sita. Hakika safari ya elimu ni ndefu kwa kuhesabu miaka lakini ni njia fupi kwa mtu makini ambaye anatarajia awe mfano bora na mtu mwenye nchango...
MHESHIMIWA. hebu mtazame huyu mwl hadi aibu mhhh!!! najua mwezi wa saba mlimuongezea mshahara mkamuongezea na kodi na makato mengine kwa taarifa nilizo nazo takehome yake haijaongezeka hata kwaTsh...
Habari, Naitwa Aman, ni mwalimu nikiyebibea na kufundisha watoto was shule za msingi, na Kwa masomo ya history ,geography ,civic, Kwa level za O'level na Economic Kwa level za Advance,napatikana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.