After Secondary School..
All your classmates have gone in different directions in the world.
Some have completed universities and are now:
Doctors,
Engineers,
Teachers,
Pilots,
Lawyers...
Habari zenu..
Nina mdogo wangu kamaliza mwaka huu diploma ya ualimu ila anasema ndoto yake haikuwa huko kwani ualimu alichaguliwa direct kutoka form four katika ile special program anataka kwenda...
Yaan mwaka huu d zako NNE za PCB na ingine yeyote isiwe ya dini huyo clinical office au clinical assistant pia pharmacy jamani ngoja twende mwaka huu mapema maana hawakaw kubadili mwakani
Amani iwe nanyi wahitimu wa kidato cha sita Kwa mwaka huu 2018/2019.
Napenda kuwapongeza Kwa ufaulu mzuri na matokeo bora,Hongereni Sana.
Napenda kutumia jukwaa hili kuwaalika vijana wote...
Nisaidieni kujua tofauti ya bachelor science in business communication and information technology na bachelor science in information technology na ipi ni nzuri kuisomea ambayo ukimaliza ita kupa...
Wakati wa utawala wa awamu ya nne mtakumbuka ilifikia hatuwa watu wakawa wanasema vyuo vinamea na kushamiri kama uyoga
lakini kupitia utaratibu mpya wa applicants kutuma maombi moja kwa moja...
Moja kwa moja kwenye mada
Nakumbuka nikiwa shule ya msingi miaka hyo ya 1999,ilikuwa baada ya mitihani ya kumaliza muhula tulikuwa tunaambiwa tulete sanaa zetu tulizo buni kwa lengo la kuongezewa...
Nilikuwa natafuta syllabus za kidato cha tano na sita Tanzania na nikafanikiwa kuzipata katika mtandao wa baraza la mitihani-NECTA. Lakini nimekutaza na katazo hili:
"All rights reserved. No part...
Nimeikuta hii sehemu na kunishangaza, mtu anawezaje kununua kitabu kisichokuwa na maandishi ndani yake.
Je! Ni jina la kitabu ndio liliowavutia wengi?
Je! Ni mwandishi wa kitabu?
Baraza la mitihani nchini(NECTA)limetangaza Matokeo ya kidato Cha sita ambapo shule ya sekondari Kibaha imeongoza.
====
Baraza la Mitihani nchini (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato...
habari zenu wadau wa jukwaa hili.natumaini ni wazima
Naombeni kusaidiwa ghalama za kufanya IELTS na center zao.nimekosa bahati kama mbili hivi za masomo nje ya nchi kwa kukosa IELTS certificate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.