Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Logic puzzle
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba msaada,nahitaji kupata elimu ya computer service & maintenance Kwa kigamboni
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Elimu - JamiiForums Elimu
0 Reactions
0 Replies
545 Views
Habari zenu wakuu. Nilikuwa nafanya Application ya Chuo Kikuu Dodom(UDOM), nilikuwa nimefika kwenye hatua ya kulipa Application fee kwa njia ya mtandao simu(Tigo). Nimelipia na nimetumiwa code...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wapendwa Wapwa zangu, Nimepitia historia nyingi za kikwetu (Afrika), zinaonekana kuwa Wazee wetu walikua na Kitu kinaitwa NGUVU UHAI ambayo iliwasaidia sana katika maisha yao ya kila siku kwa nia...
2 Reactions
102 Replies
24K Views
Jipatie Information Technology Certification Online Certification Exams From NCSA
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari GTs 1. Naombeni mnieleweshe maana ya NTA level 4,5&6 Tafadhari 2. Nijuzeni mwisho wa Ku apply diploma ni lini? 3. Vyuo bora vya kozi za afya kwa diploma ni vipi hapa Tanzania? Ahsante
0 Reactions
5 Replies
1K Views
You can say it involves buying and selling stuffs, well you probably are true but what really business is? Since I am not the only one who doesn't know, I am open to suggestions Define business...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
LUGHA YA ISHARA (BODY LANGUAE)- 1 UTANGULIZI: Na Mummed Ibnul Islam Kwa kadri tulivyokua tunakaribia karne ya 20, tulishuhudia uibukaji wa aina mpya wa wanasayansi jamii wajulikanao kama...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani nimefanya application katika mfumo wa udom na nimelipa Pesa imekatwa ila status inasoma not paid
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi ni mwalimu wa primary nina mwaka wa tatu tangu nianze kazi Nimeomba kusoma diploma ya ICT. Naomba kufahamu kutoka kwa wazoefu au wanaofahamu kama nitapata RUHUSA kazini au la
2 Reactions
5 Replies
8K Views
Salamu zenu ndg, Naomba kufahamishwa Jina la shule ya sekondari ya PRIVATE yeyote iliyopo wilayani MISUNGWI. Ahsanteni
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu. Samahani naomba Email address ya Kizuka secondary school tpdf. Kwa anaefahamu naomba anijuze tafadhali. Ahsanteni.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya jumapili wadau. Kama title inavojieleza, naombeni mnisaidie. Natsmguliza shukran
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Amani ya bwana iwe nanyi. Naombeni mnijuze ufahulu gani unaohitajika ili uweze kujiunga na shule ya Ilboru au Tabora boys. Anayejua asisite kuniambia,siku njema.
0 Reactions
72 Replies
12K Views
Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na...
0 Reactions
30 Replies
11K Views
Habari! Napenda kuuliza ni muda gani huchukua hadi kutangazwa kwa waliochaguliwa kujiunga katika vyuo na course mbalimbali pia kujua allocation za mkopo kwa wanufaika? Asante na karibuni
0 Reactions
29 Replies
5K Views
brothers and siters wa JF, Kama mtu amekosea kitu katika mchakato wa kuomba mkopo wa elimu ya Juu kwa mwaka 2018/19, anawezaje kurekebisha! Msaada tafadhali kwa anayejua au aliekutana na tatizo la...
1 Reactions
29 Replies
77K Views
Habari, Ikiwa ni mwanafunzi upo katika mchakato wa kuomba chuo kwa kozi za diploma ya clinical medicine na pharmacy tu basi nione PM nikupe utaratibu wa kujaribu bahati yako huenda ukajipatia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
wakuu nawasalimu! Wakuu matokeo yangu hayaniruhusu kwenda degree (DEE) hivyo option iliyokuwepo ni diploma TU. Hivyo basi nahofia Ku apply diploma kwani sitaweza kulipia Ada ambayo ni zaidi 1M...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Back
Top Bottom