Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kichwa cha habari kinajitosheleza sasa ninaomba ushauri wenu kunarafiki yangu alifanya mtihani wa kidato cha sita kwa mchepuo wa EGM akadondoka na kupata S ya GS na yeye anatiania ya kupacheti cha...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Naomba msaada nitapata vipi vitabu vya NGAIZA kuna mdogo wangu yupo shule anataka Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Wakuu naomba ushauri ,Mtu ni mwalimu wa ngazi ya stashahada lakini alisoma HGE kwa A -level na masomo anayofundisha ni HISTORY na Geography . Na umefika wakati anataka kusoma ngazi ya...
1 Reactions
3 Replies
676 Views
Tafathali,mwenye ujuzi wowote na hii faculty anipe mwongozo
0 Reactions
0 Replies
934 Views
Habarini wadau Jamani nijuzeni kama hii kozi ya Air Ticketing inayotolewa katika hivi vyuo vya mitaani ina nafasi za ajira kweli hapa nchini kwetu au ndugu zetu wanaliwa hela tu za bure!??
0 Reactions
15 Replies
5K Views
HABARI ZA LEO WANDUGU!!! MATOKEO YANGU NI div.iii (PCB)(SEE)respectively. NAOMBA MWENYE UELEWA KUHUSU MIKOPO YA BODI..! HIVI NAWEZA KUPATA KAMA NILIFANYA ACSEE 2013 KAMA MTAHINIWA...
0 Reactions
14 Replies
8K Views
Udahili wa nacte kwa vyuo vya ngazi ya cheti na diploma utamalizika tarehe 8th September, 2018 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Bachelor in degree of legal and industrial metrology Hii degree ipo je kwa anayeifahamu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
323 Views
Sisi walimu Wa halmashauri ya wilaya ya siha tumechoshwa na vitendo anavyotufanyia afiselimu msingi Wa wilaya yetu.kila Mara ili ufanye kazi maalum au kuhama kituo lazima utoe kituo kidogo.hii...
0 Reactions
98 Replies
11K Views
Habari, wana jamvi. Naomba kujua ni vigezo gani vinavyoangaliwa katika kutoa status like International school, accademy, vipaji maalum.. nk na ni nani anaehusika kutoa na kumantain hizo status
0 Reactions
0 Replies
632 Views
- shule ipo mganza chato. - mwl awe na uwezo wa kuwasiliana na wanafunzi kwa kiingereza. - mwl wa kike atapata kipaumbele. - kama upo mazingira jiran tuwasiliane. - piga simu namba 0755098159...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani Mimi ni mwalimu wa shule moja ya binafsi, nmefanya kazi mwaka mmoja na miezi mitatu sasa , lakini nnadai mishahara ya miezi 8 mpaka sasahv, naomba msaada njia ya kisheria jinsi ya kuzipata...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hapa kuna wajuvi wa lugha yetu ya kiswahili ambao wanaweza kukupa maana halisi au tafsiri ya neno ambalo limekuwa likikutatiza kwa muda mrefu. Karibu uweke msamiati wako ili ufahamishwe maana...
0 Reactions
2 Replies
9K Views
Nani ana-access ya ajira portal?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Shule ya Sekondari namwai Wilayani Siha yapata tuzo kwa kupata mjongeo chanya matokeo ya kidato cha nne 2017. Shule hiyo imepata shilingi milioni 2 kwa ajili ya motisha kwa walimu Habari zaidi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
habari zenu wanajamvi! nimesikia tetesi kuwa kozi hizi zifuatazo kuwa zimerudishwa: dip. ya ict with education dip.ya education in primary school dip.ya childhood. kwa mwenye tunaomba tushee...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hapa ni kwa ajili ya kufahamiana zaidi na kupeana taharifa mbalimbali kuhusu chuo kama vile accommodation na mazingira kwa ujumla, pia hata kukifahamu chuo kwa undani zaidi, bila kusahau kuwekana...
1 Reactions
20 Replies
10K Views
Habari wakuu Kwa anayefahamu kwa mwaka wa masomo 2018/2019 veta wanafungua maombi lini anijuze kuna kijana anataka kwenda huko sasa hatujui kama wameshafungua maombi au bado
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa mwenye kufahamu, Ni lini zinatoka selection za postgraduate udsm kwa walioapply kabla ya mwezi wa 6? I mean first round of application.
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom