Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
mwenye kujua kama matokeo ya kidato 2 yametoka atuelekeze tovuti iliyo na matokeo hayo
0 Reactions
5 Replies
21K Views
Hakuna kitu kinaumiza kama kufanya jambo ambalo nafsi yako haifurahii, Kama wewe ukiona damu tu kizunguzungu kwa nini uchague MD? Kama wewe macho yako mabovu ya nini ujitese kusoma Computer...
4 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale ambao wamehitumu diploma mwaka 2018 ningependa tujuzane wamefikia wapi katika kuomba AVN binafi nimehitimu mwaka huu ila ktk kufnya application iyo ya AVN nikifika katika hatua ya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kwa waliowahi kusoma chuo kozi ya clinical medicine, Ada yake inalipwa mara ngapi kwa mwaka?
0 Reactions
15 Replies
9K Views
Wakuu hv naeza kufanya kitu kusoma masters na g.p.a below the required g.p.a.? Msaada wapendwa au ndo elimu ina mwisho
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu habari zenu...bila shaka Vyuma vinalegea taratibu.. Kuna dogo hapa jirani amemaliza CBG mwaka huu... Sasa alikua ana dream za kusoma afya ya binadam,ila tunajua CBG walivyo pigwa pin hapo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Tunaomba ,afisa elimu msingi Wa Halmashauri ya wilaya ya Siha Mkoani Kilimanjaro achunguzwe.tumelalamika vya kutosha na vyombo husika vimemfungia macho muda mrefu.tumechoshwa na vituko na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
Walimu wenzangu ,kichwa cha habari kama kilinavyojieleza.mwenye CV hiyo aiweke hapa.ova
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Hivi karibuni matokeo ya kidato cha 6 yametoka na kuna mikoa imeongoza kitaifa huku mkoa wa Kilimanjaro Ukiwa nafasi ya 6 kwa ufauli kulingana na walivyopanga wenyewe Lakini ukiangalia madaraja...
10 Reactions
42 Replies
5K Views
Nina miaka mitatu kazini nataka kurudi nyumbani kama unataka kuja Morogoro wilaya ya Malinyi nije wilaya ya Hai,Rombo na Moshi vijijini idara elimu sekondari kama unapenda kulima ardhi yenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau Naombeni masaada napitia chamgamoto katika kufanya maombi ya kujiunga na mwaka Wa masomo 2018/19 nimefungua account vizuri hadi nikalipa pesa ya maombiTsh 10,000/_ kupitia vodacom na...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
wana taaluma mnakumbuka jamaa kutoka north Korea baada ya kupakwa kitu usoni alipo kuwa airport hakuchukua hata masaa sita kabla hajakauka? ni juzi juzi tu muingereza kaingia ktk mgogoro na mrusi...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Hivi Tanzania kuna sera au sheria za kumlinda mtumishi yeyote awe wa serikalini au katika kampuni au shirika binafsi? Kama zipo je zinafuata au waathirika wakizihitaji zichukue hatua yake...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Ndg zang wapenz napend ku-share nanyi hli jambo kdg nikleng kpt msaad wa mawazo ushauri na msaad mwngne weny kfanan na huo. Mm ni kjn umri miak 21 nlimalz "O"level 2016 na kupt div-one nlichguliw...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Heshima kwenu wakuu! Ninaomba kupata maelekezo kuhusu utaratibu, gharama na mahitaji mengine katika kusoma CPA baada ya kuhitimu Shahada ya Awali ya Uhandisi. Nawasilisha.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Njoo ukerewe nije halmashauri yoyote mkoa wa Mwanza au Geita Idara ya msingi
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilimaliza form two mwaka 2012 nilifaulu ila sikueza kuendelea mbele , vp inawezekana nikafanya mthiani wa form four kama private candidate? Vipi na utaratibu unakuaje kama inawezekana? Shukrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
wana jf kuna uwezekano wa kusoma ict ukiwa ume soma arts
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Sabakher Wadau; Nahitaj Kumpeleka Mdogo Wangu Hapo Akapige Diploma In Clinical Officer!! Mwenye Taarifa Naomba Anisaidie Yafuatayo; 1. Ada Kwa Mwaka 2. Fedha Ya Hostel 3. Mazingira Ya Chuo 4...
1 Reactions
5 Replies
10K Views
Back
Top Bottom