Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kama nilivyo jieleza hapo juu .mm nmemaliza six mwaka huu kwa comb ya CBG kwa ufaulu wa Div 3 ambapo nina E ya chem pamoja na D mbili za geo na bioc Sasa wa naombeni msaada za koz zeny tija za...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
Me nimesoma PCB na matokeo yangu siyo maxuri saba ila asante mungu na asanteni sana kwa kunisadia kwenye post iliyopita nimesha apply SUA nimepata two ya 10 matokeo yangu ni CCD ktk chem bios na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadauu kama mada inavyosema hivi kozi ya electrical& electronics eng. Pale arusha tech.wanafundisha fresh au miyeyusho tu na mazingira ya chuo yanaridhisha? Kwa wale wenye uzoefu naombeni ushauri...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Anayependa kuja Mkoa wa Morogoro wilaya mpya ya Malinyi mimi nije Moshi vijijini hasa kata ya kimochi au wilaya ya rombo,hai au siha idara ya elimu sekondari anitafute kwa namba hii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajumbe hivi majuzi nimeambiwa na binamu yangu kuwa anasoma shahada ya kwanza Kampala International University tawi la Dar es Salaam. Binamu yangu huyu alifeli form 4 kwa kuscore division zero...
0 Reactions
95 Replies
15K Views
Salaam wanajamvi..... Kama kichwa kinavyojionesha, Mkurugenzi wa Bodi ya Mikopo Tanzania (HELSB) na washirika wake pamoja na serikali wameamua kuwakata wanafunzi wanaonufaika na mikopo ya elimu...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mwenye ufahamu wa soko la hii facult kwa hapo Tz ...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Salama wakuu? Naimani kwa majaaliwa yake mola mko poa, mniruhusu nielekee kwenye mada! Nmeuleta huu uzi mahala hapa kua uwanja wa majadiliano ya kina kuiangalia hii sekta ya elimu ni kwa vipi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nashauri wafanye kama ifuatavyo: Wamwite na kumpa karatasi lake la majibu ya kiswahili, halafu wampe karatasi nyingine ya majibu aitumie kutafsiri sasa majibu yake kwenda kwenye lugha ya...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
mambo VP members ivi Ni taasisi gani inatoa mikopo kwa wanafunz WA Chuo ukiacha HESLB msaada please
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ndio wandugu, kwa yeyote anayetatizika na suala hili zito la kufanya application za vyuo mbalimbali nipo hapa kwa msaada zaidi. Kwa wale mliopo Dar es saalm tunaweza kuonana moja kwa moja...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Wadau nisaideni kunijuza juu ya chuo ambacho kinaendesha course ya 3D animation kwa hapa tanzania(DSM). Vyuo vingi nilivyotembelea vinaendesha course ya graphics design tuu.nawasilisha! NB:Kama...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa nini somo la history advanced level A au B huwa chache? Nipeni namna ya kufaulu kwa viwango tajwa hapo juu katika mtihani wa mwisho.
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Wakuu naomba kwa wanaojua taratibu za kulipia online application kwa anayetaka kulipia hii fees ya kujisajili chuon SUA anisaidie process kwani nimejaza kwenye ile portal yao lakini nikishafika...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Bachelor of Veterinary Medicine: Hii ina maana gani tafadhali: Two principal passes in Biology/Zoology and Chemistry and a pass in Physics/ Mathematics/ Science and Practice of Agriculture at the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ada ya diploma ya lab na famas sh ngp kwa mwaka PIA michango yote sh ngp ukijumlisha na Ada inakuwa bei gan namaansha off campus msaada please
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kati ya diploma ya medical lab na diploma ya famasi ipi Ni nzuri kusomea kwa upande WA ajira na kujiajiri PIA kuendelea kusoma kwa level ya digrii
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari zenu wa jf, Nina mdogo wa Rafiki yangu wa form4 hawa waliomaliza juzi alifaulu kwa Division 3, kombi zote zimebalancy tatizo hajachaguliwa na pesa hana zakumpeleka private,anaomba ushauri...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakat niko kweny daladala la gongo la mboto naelekea kumtembelea jamaa yangu pande za kisemvule kuna jamaa akawa anamuomba ushauri mwenzake.. huyo jamaa kasomea procurement sasa anamwambia...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Tanzania Association of Managers and Owners of Non-Government Schools and Colleges (Tamongsco) Secretary General, Benjamin Nkonya Performance in science subjects has slightly improved in...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom