Habari wana Jamvi.
Naomba msaada, je mwaka huu mwalimu wa shule ya msingi wenye grade A haruhusiwi kusoma Diploma? Maana nina ndugu yangu anahitaji kujiendeleza ila vyuo vingi havitoi hii course...
Wakuu naomba kuuliza. Kwa mfano umechaguliwa chuo let say UDSM lakn facult ulopangiwa hujaridhika nayo, je unaweza kwenda kuibadili na kusoma ile uipendayo?
Kuna ndugu yangu amepangwa hapo Matai Form v 2018. Shule ipo Wilaya ya Kalambo, Rukwa.
Kwa masikitiko, ndugu yangu anasema shule iko katika hali mbaya sana, kiasi kwamba mabweni hayana madirisha...
IN SUMMARY
According to the study, the monthly salary and allowances of a full professor in Kenya are an average of $2,200 compared with $4,900 in Rwanda, $3,200 in Tanzania and $ 1,150 in...
Wakuu
Ni miaka kadhaaa sasa tangu nilipo hitimu kidato cha nne katika shule Fulani ya kata hapa kwetu
Nakumbuka shule yetu ya kata tulifaulu watu wengi kuliko miaka yote ya nyuma....
Division...
Hivi karibuni, Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imeangaza vigezo na masharti mapya ya kujiunga na kozi mbalimbali za afya gazi ya cheti na stashahada. Kwa mujibu wa taarifa ya katibu mkuu wa...
Mara nyingi tumesikia watu wakilaumu mtalaa wetu kwamba unafunga fahamu za wanafunzi wetu. Wenye madai haya wanafikiri bila mtalaa kufanyiwa marekebisho makubwa, haiwezekani elimu yetu...
Habari zenu wadau.... Mi ni form six leaver nataka Niapply SUA nimelipia ile ya ada ya sh.10000 lakini nashindwa kuendelea sababu password sina.... Naomba mnisaidie njia lahisi ya kutumia ili...
Salaam Brothers and Sisters wa JF,
Nmekuwa najaribu kuingia Kujisajili kwa ajili ya udahili wa mwaka wa masomo 2018/2019 kwenye website ya SUA but online admission system...
Wakuu nina kashida na notes au map solving zilizo calculatiwa haswahaswa kwenye maeneo haya:-
1)Gradient
2)Vertical exaggeration
3)Trend and alignment
4)Cross section
5)Change scale calculations...
Kama tittle inavyojieleza mimi ni muhitmu wa form six nimepata two ya 10, natamani sana kusoma kozi hiyo hapo juu, nahitaji ushauri kwa waliosoma kozi hiyo. Natanguliza shukrani.
Best Tanzanian Universities 2018 – Latest Rankings
A list of best universities in the world for 2018 has just been released and the new ranking is something totally different from what we had...
Mimi naitwa Mashaka salum nipo songea-Ruvuma Nina umri wa miaka 24 nina elimu ya kidato cha sita,nilihitimu mwaka 2015 kwa mchepuo wa pcb nikapata ufaulu wa chemistry-d,biology-c,physics-d...
Habari za wakati huu! naombeni kujulishwa namna ya kuapply chuo kupitia online application
Na msaada wa facult ya kusoma
Nmesoma HGL pass zangu ni nzuri
Have you got an important test coming up that you really want to pass? Do you generally want to improve your grades? There are a number of tricks and practices which can significantly improve your...
Kuna kijana kamaliza kidato cha sita, na matokeo yametoka ambayo hayamruhusu kwenda kusomea digrii yoyote.
Anadivisheni 3 ya 16 hana D yoyote ile.
Akitaka akitaka kuapply diploma anapitia TCU au...
Mtandao wa kufanyia maombi wa chuo cha Sokoine, unagoma kwa network ya TTCL, nimethibisha hili, kwa kujaribu mara kadhaa bila mafanikio, lakini watu wa mitandao mingine kama voda, tigo wana access...
Tatizo la kufeli mitihani limekuwa ni kubwa sana na kuwaathiri wazazi ,walezi ,walimu ,serikali na hata wanafunzi wenyewe.Ukubwa wa tatizo umesababishwa na wadau wenyewe wa elimu ikiwamo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.