Hodi wakuu,kwa muda mrefu shule ya Kisimiri imekuwa ikifanya vizuri katika mitihani ya kidato cha sita,kwa mfano 2016 ilikuwa namba moja kitaifa chini ya mkuu wa shule Emmanuel Kisongo(super...
Jamani naomba msaada wa kuapply SUA nimesha jisajiri sasa wamenitumia password kila nikiingiza naambia hazifanani wakati wamenipa wenye au ninakosea wap????
Kwako Mkuu Badru.
Mabadiliko haya yanahitajika kwa Bodi ya Mikopo:
Wanafunzi waliolelewa na Mama pekee bila msaada wa baba,
Wanafunzi waliolelewa na Babu na Bibi huku wazazi wapo lakini...
Habari wakuu, Ninaomba ushauri juu ya masters programme ya kusoma yenye motisha nzuri ya kujumlishia kwenye degree ya kwanza (hot cake). (Degree ya kwanza Ilikuwa ya ICT). Kuna baadhi ya kozi za...
Wale wanafunzi waliomaliza form 6 na wanaotarajia kuingia chuo (degree)mwaka huu nina habari njema kwenu.
Nipo hapa nafanya kazi ya kuwasaidia kufanya application za kwenda chuo, unachotakiwa ni...
Wakuu nimepeleka hard copies za maombi ya mkopo wa elimu ya juu posta sasa nakutana na mhusika ananiambia niambatanishe na matokeo ya kijana wangu ya kidato cha sita mwaka huu. Nimeingia NECTA...
Habari wanajukwaa, poleni na mihangaiko ya kutafuta riziki?
Mimi hili jukwaa limekuwa likinisaidia katika issues nyingi tu na ni msaada kwa wengine ila leo nilikuwa na suala moja ambalo...
wakuu naomba kuuliza kuhusu selection za chuo......kama deadline ya kwanza ni tar 15 august,Ina maana majibu ya application yanatoka kwanza au tuna endelea na second round ku apply????
Je kuna mtu yeyote anayeza kunisaidi chakufanya ili nizipate refference no maana bila ya hz siwez kuapply SUA maana hz znaitajika kwenye malipo au mwenye namba ya ugonzi wa SUA plz mnisaidie...
I offer home tuitions only on physics, chemistry & mathematics for both Ordinary level & Advanced level.
My contacts: 0625755889
Location: Morogoro Town
Poleni wakubwa kwa pirikapirika za siku ya kazi zilizoisha naimani mnaendelea vizuri na weekend yenukuna jambo naombeni mumsaidie mtu wangu wa karibu.
Kama kichwa cha habari nilivyokiandika hapo...
Wakuu ninaomba msaada kidogo kuhusu Bachelor of Vetenary medicine ya pale Sua. Kwa anayeijua au kwa aliyeisoma, Je ina ajira kwa sasa?? Au bado mazinguzi
The University of Dar es Salaam through the School of Education and the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies invites applications for admission into a MASTER OF EDUCATION IN...
Habari wakuu.... nategema kuanza chuo (bachelor)soon and Nina options ya course ambazo ni INTERNATIONAL RELATIONS AND DIPLOMACY, JOURNALISM, MASS COMM Na INFORMATIONS AND RECORD MANAGEMENT...
The University of Dar es Salaam through the School of Education and the Department of Educational Psychology and Curriculum Studies invites applications for admission into a MASTER OF EDUCATION IN...
Kwanza mmechagua fungu jema ila chukua haya..
1.Discipline ndo inaamua umalize chuo au usimalize, means kwamba hata uwe kipanga kiasi gani kama huna nidhamu ''shingo" itakuwa mali ya machief...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.