Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu hbarini za jumamosi! Ninaomba msaada wa kufahamu kuhusu post graduate ya mtu aliyesoma education na akataka kusoma sheria, uwezekano wake ukoje? Mana hitaji kutumia bachelor ya education...
0 Reactions
21 Replies
8K Views
Kampala ni chuo kizuri au kibovu? Maana nasikia kashfa nyingi mno kuhusu hicho chuo.
2 Reactions
43 Replies
9K Views
Nimeona watu wengi wakianzisha nyuzi za kuuliza maswali mbalimbali kuhusu vigezo vya kupata chuo, kozi kulingana na matokeo husika. Ni vyema tuwe na uzi mmoja ambao utabeba kila kitu kuhusu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu, mimi ni mwalimu nimehamia wilaya mpya kutoka kituo changu cha zamani,nimepata shida ya kuhamishiwa mshahara wangu toka mwaka jana mwezi wa kumi,nimefata taratibu zote jibu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
wakuu Nina rafiki angu alimaliza form six mwaka 2014 HGK aliparmta division two ya 8 by then sasa nilikuwa nauliza naweza mshauri akasome kozi IPI chuo kikuu except education Thanks
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Mimi ni mwanafunzi niliehitimu kidato cha nne mwaka 2017 lakini nmeshindwa kuendelea na kidato cha tano kutokana na ufaulu wangu ivo basi nahitaji msaada wa mawazo ni kozi gani ni nzuri ili...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Jamani mimi uhakiki wa cheti cha kuzaliwa unashindikana nifanyaje? Au nitumie kwa kulipia kwenye simu nifate utaratibu gani? Naomba mnisaidie jamani
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau habari hivi awamu ya pili ya uhamisho wa watumishi inatoka lini? Walitangaza kua watatoa majina ya awamu ya pili lakini mpaka leo July 27 hakuna majina yoyote yaliyopostiwa Kwa wenye...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Licha ya nacte kufungia vyuo ambayo havina sifa ya ku-admit wanafunzi kwa ngazi za diploma na degree, nimebahatika kusikia chuo kimoja kinaitwa Royal pharmerceutical Traininga Center kinapatikana...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
jamani naomba kufahamu ni mahali gani kwenye net naweza ku download Q & A za past papers za CPA
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habarini wakuu naombeni msaada wa kupata past papers mbalimbali za mock za somo la geography form four o-level
1 Reactions
3 Replies
2K Views
naomba kuuliza kile kigezo cha kumaliza form four mwaka fulani hadi mwaka fulani hakipo kwenye kuapply vyuo vya serikali?
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kwa mtu aliemaliza form 6 cbg anaeza akapata chuo gani na kusomea nini....je kwa upande wa pharmacy anaeza kwenda kusomea chuo kipi?
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Nivigezo gani vinatumika kwa MTU aliye maliza diploma anayeitaji kujiunga na CPA naomba Msaada wenu jamni,na Ada yake ikoje?
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Anybody aliyefanya application za postgraduate udsm mwaka huu naomba ani PM
0 Reactions
3 Replies
739 Views
Kwa nini tangu 2016 mpaka sasa taasisi nyingi zimekua haziajiri tena wamekua wakitoa tu nafasi za volunteer na internship kwa upande wangu huwa napata tabu sana kuelewa unakuta kampuni limeajiri...
0 Reactions
0 Replies
947 Views
Wadau habari za Mchana. Naombeni wenye taarifa na fursa mbalimbali ya scholarship za PhD hususan Health Economics aweze kushare nami. Asanteni
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Etii jaman hizi ni taarifa za kweli kua TCU ndo wanadahili wanafunzi wa degree tofauti na mwaka Jana.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau kama kichwa cha uzi huu kinavyojieleza, nimevutiwa sana kujifunza lugha ya Kichina cha kuongea na kuandika kwasababu zifuatazo; 1) Nchi yetu imekuwa ikipokea wageni wengi sana kutoka China...
1 Reactions
21 Replies
10K Views
Hivi mtu anaetokea certificate clinical medicine halafu akachukua diploma baadae akajiendeleza kwa level ya degree anaweza kupewa mkopo akiwa anasoma degree yake au huwa hawatoi kwa mtu aliepitia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom