Kuna issue ya AVN imekuwa tatio jaman.Nacte wanasema wahitimu wawasiliane na vyuo vitume matokeo ndo wapatiwe AVN....
Hivi Nacte si ni bodi inayosimamia vyuo vyote vya ufundi..kwanini...
Habari!
Naomba msaada wenu, kwa mtu aliyepata division 3 point 15 ya CBG atasoma kozi gani na chuo gani diploma kinamfaa?
Marks zake ni kama ifuatavyo;
Chemistry - S
Biology - D
Geography - E
Historia fupi ya Shahada hii ni kwamba ilianzishwa hapa Tanzania katika chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine mwaka wa masomo 2010/2011.
TCU iliwachagua Wanafunzi wapatao 25 kujiunga pale SUA katika...
Habarini za muda huu wakuu
Siku nne zilizopita nilifungua account ya online application kwa ajili ya bachelor degree pale udom
Wakanitaka nilipie kwa tigo pesa kwa kuwapa namba ya simu na...
Wanajamvi, naombeni mnisaidie,
Mtoto wangu wa kike anamaliza darasa la saba mwaka huu. Nisaidieni kupata shule bora. Iwe Arusha au Moshi:
1. Iwe shule yenye kuzingatia maadili
2. Inayofanya...
Morning, Ukitaka kufanya Chaguzi za program siku zote Chagua "sample " yani tengeneza orodha ya kozi nyingi zenye sifa tofauti unazotaka wewe. mfano naangalia hivi.
1. Carrier yangu.
Kozi iwe ni...
Ni siku ya pili leo tangu nimfanyie mtu online application chuo cha Muhas, baada ya kujaza details zoote shida ni kuletewa reference number ili kufanya malipo, inaandika pleease wait..... Simu...
Kwanza kabisa napinga kufungia MD kwenye vyuo kama UDOM na IMTU ma kuiacha UDSM (MD), TCU inapaswa kuulizwa kwa makini sababu za msingi za kuacha MD course pale wakati tunajua kama kuna jipu basi...
Samahani naomba kuulizaa endapo mtu matokeo yake ya kidato Cha sita hayajatoka kwasababu hakulipia
Sasa tayari kalipia wiki ya pili sasa haoni matokeo yake anaweza fuata hatua gani? Arudi NECTA...
Salamu wakuu husika kichwa cha habari hapo juu .Niko kwenye process za kuomba vyuo nimefanikiwa viwili tu lakini sua na udom vinasumbua sana. Kwa mfano sua nimeshajisajili Nina user name na...
Kwa waliotuma cheti cha kuzaliwa RITA kuna sehemu unatakiwa kujaza namba ya risiti ya malipo. Je hapo unajaza nini kama hicho risiti imepotea au umesahau ulikohifadhi? Masada tafadhali kwa...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI NA WADAU WOTE WA ELIMU
Ndugu wanahabari wote,kwanza nimshukuru Mungu kwa uhai na afya njema aliyonijalia hadi siku ya leo.
Ndugu zangu kwanza kabisa niwapongeze...
MKOA WA KILIMANJARO UNAVYOUAIBISHA MKOA WA DARESALAM KITAALUMA.
Na Thadei Ole Mushi.
#Mkoa wa Kilimanjaro pekee una shule 66 za Advance yaani mara sita ya shule zote za Mkoa wa Mtwara na Geita...
Habar za muda wakuu , kama hapo juu kunavyojieleza nipo mwanza na vyuo vinavyo toa kozi ya INFORMATION TECHNOLOGY ni vichache sana hivi nahtaj kujiunga na masomo ya diploma, so naweza jiunga na...
Hi wanajamvi!
Moja kwa moja najikita kwenye maswali yangu yanitatizayo kila kukicha....
1. Hivi inakuwaje main transmission lines za umeme zinakuwa na nyaya tatu wakati umeme unaokuja kuvutwa...
Habari,
Nina mdogo wangu anataka naenda advance wiki ijayo sasa wamepanga comb ya HGL kuna baadhi ya watu wanamtisha kuwa language ni ngumu, sasa anataka kuchukua Kiswahili badala ya Language...
Habarini wana jamvi..
Naombeni mnijuze kuhusu hili.. kama inawezekana mtu aka apply moja kwa moja form four aende TIA au IFM kusoma diploma bila kupitia A-level???
Ahsanten...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.