Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wakuu nilikua nataka kufahamu zaidi juu ya hiyo kozi kama kuna mtu anaifahamu kiundani ajira zake inakofundishwa na chichote kile
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natanguliza samahani katika hili mm n kijana nliyemaliza kidato cha sita mwaka huu na kupata ufaulu ufuatao,, O-level Math B English B Literature C Geography B History D Civics D Kiswahili C...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
kama una D mbili na ungependa kusomea ualimu wa nursery,tuwasiliane,chuo kipo bukoba, nitafute kwa namba hii 0763269465
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wakubwa.
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba aliye hitimu kozi tajwa hapo juu anipe uzoefu wa baada ya ku graduate na huko kazini pia..je ni nzuri au ndio majanga tu... Nawasilisha
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu?naomba kujua mwanafunzi aliepata daraja la 15 kwa mchepuo wa CBG anweza pata chuo cha shahada?pia kozi zipi anaweza somea kutokana na ufahuru huo.....naombeni ushauri kwani hapa...
2 Reactions
42 Replies
6K Views
Napenda kuwapa pole wale wote waliokosa AVN kwa sababu tofauti ikiwa zao binafsi ama kwa kuchelewa vyuo walivyosema kupeleka matokeo yao NACTE. Ila nawakumbusha kuwa NAVNS bado ipo wazi waendelee...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
habari wanajf naulizia hospitali inayoweza kudhamini mafunzo ya clinical medicine kwa masharti ya kufanya kazi kwenye taasis husika endapo ukimaliza masomo nilishawahi kusikia eti ndanda hospital...
0 Reactions
2 Replies
755 Views
Wadau nina kijana wangu, amefaulu vizuri tu form 6, na anahitaji kusoma kati ya hizo kozi mbili hapo juu, kwa anayefahamu indetail kuhusu hizo kozi. Msaada please ili niweze kumshauri..Maana...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikichukua degree ya science general (microbiology & chemistry ) nitafanya kazi gani,,, na je kazi zipo? Msaada plz
0 Reactions
29 Replies
10K Views
Karbuni Tujuzane Zaidi Jinsi Ya Kutuma Maombi Katka Vyuo Vilivyo Sajiliwa Na Nacte
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Habari za wakati huu? Naomba msaada wa mawazo. Nina ndugu aliyemaliza kidato cha sita, Combination CBG. Kwa mujibu wa matokeo yaliyotoka hivi juzi, amepata division three (3). Sasa naomba mwenye...
0 Reactions
15 Replies
5K Views
Pass za kijana wangu ni hizi: Physics -D Chemistry D Biology C Anatamani sana kusoma Pharmacy, je kuna chuo kitampokea. Bugando is rejecting. Minimum pass za pharmacy ni zipi? please assist...
1 Reactions
10 Replies
5K Views
Naomba msaada., minimum 6 points ina maana gani, C=3 D=4 E=5 sasa hapo minimum 6 points zinapatikanaje? Three principal passes in Physics, Chemistry, and Biology with minimum entry of 6 points...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Wakuu napenda kuuliza hii kozii iko vp?coz nimeapply third round Na nikipangiwa ntaenda ku deal nann nikimalizaa na vp soko lake la Ajira
0 Reactions
45 Replies
10K Views
Mimi ni mwanafunzi wa kidato cha tano ambae nimechaguliwa katika shule moja hapa jijini Dar nikiwa nimepangwa tahasusi ya HGK. Ndoto yangu ya kitambo ni kuwa mwanasheria lakini kuna watu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF, Kwa matokeo haya je ni kozi gani itamfaa Economics - C Geography - C Mathematics - S
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Muswada ulishapita bungeni je kuna anayefahamu chochote je ishasainiwa? au itaanza lini? Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata mikopo 11 months ago Wenye Diploma waula,sasa kuanza kupata...
2 Reactions
11 Replies
5K Views
Back
Top Bottom