Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadau naombeni kupewa utundu na marifa hapa,ukiandika sms kwa sim ndogo unaweza kuandika mpka pages 5 kwa baadhi ya sim lakini sms hiyo hiyo ukiituma kwenye simu za smart inaingia ndefu sana...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Mimi ni miongon mwa wanafunz niliomaliza kdato cha sita sasa nilikuwa naomba mnisaidie nahitaj kuchukua geography na mathematics chuo sa bdo cjajua faculty ya kuchukua na chuo cha kwenda kusoma...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Deleted member 485868
Habari za mchana wanafamilia Naomba mnisaidie Chuo kipi hapa Tanzania kinachotoa course ya interior&exterior design.. Anaefahamu naomba kujuzwa Tafadhali. Ahsanteni na mchana mwema.
0 Reactions
10 Replies
996 Views
Wana JF naomba mwenyewe kufahamu chuo kinachotoa mafunzo ya kozi ya HIV/AIDs cancelling kinachopatika DSMs . Mm nimehitimu kidato cha 4 na nilisoma masomo ya sayansi.
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Habari wakuu Natumaini kuna watangulizi hapa ndani waoweza kunipa mwanga kidogo kuhusu programs mbalimbali ktk kada ya afya, matokea yangu ya O-level nilipata div 1 huku physics B, chem A na bios...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wapendwa Wahitimu Kidato cha Sita 2018, Kwa Heshima kubwa, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania kinawapongeza sana kwa kuhitimu masomo yenu na kufuzu vizuri kupitia matokeo ya mtihani yaliyotangazwa...
2 Reactions
0 Replies
5K Views
habari wadau naomba mnisaidie kuhusu hiyo course wanao ijua vizuri nataka nikaisome pale chuo cha ushirika ushauri wenu jamani
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Wahitimu wengi wamekuwa na ukakasi juu ya course ipi wasomee kutokana na matokeo waliyopata ,lakini njia nzuri ya kuchagua course sahihi ya kusomea ni kufikiri kitu gani unakipenda na ndiyo ndoto...
4 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari Wakuu kwa niaba ya wengi Ningependa Mnifahamishe Chuo kizuri hapa tanzania ambacho kinatoa koz za Computer application na wana walimu wazur ada inakuwaje kwa mwaka nk.
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Miaka ile hakuna kitu kilikuwa cha mshtuko kama usikie matokeo. Matokeo yakitangazwa lazima siku mbili tatu uskie wawili watatu wamejinyonga mwingine mara kanywa sumu. Ila sa hivi hata hupati...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Kampuni ya Hadithi Zetu Limited, Iliyoko Arusha Tanzania AICC Ngorongoro wing office no 239 Inakuletea Mafunzo ya Lugha ya Kichina, yatakayo anza Tarehe Sita August 2018. Mafunzo haya Ni ya...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Ana two ya 12 PCB kama ifuatavyo Chem C bios C phy S kuna course ya mefical lab inataka point 6 na at least awe phy ana E kwa muongozo wa TCU JE KWA HAYO MATOKEO ANAWEZA PATA MEDICAL LAB??? AU...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Imma Grateful for such Results Brilliant Schools.. Ndanda High School Great Pongezi kwa Mr HeadMaster et al. They made it Great Mwanao akiwa hapo... Usijutie
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Kama nilivosema kwa elimu yangu inawezekana kwenda IT?wadau msaada
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Msaada jinsi ya kupata link ya vyuo vya dar es salam vinavyotoa ... Program ya IT kwa ngaz ya certificate
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Haloo, Nauliza ivi kuna sehemu za review za CPA maeneo ya Tegeta kuelekea Bunju? Hasa weekend? Kwa anayejua msaada pls.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ina maana gani: ... including 3 passes Holders of Certificate of Secondary Education Examination (CSEE) with four (4) passes in non-religious subjects including three (3) Passes in Biology...
0 Reactions
1 Replies
820 Views
Habari za leo wakuu Naomba kuuliza msichana mwenye II ya 12.. A level anaweza akapata chuo kinachotoa degree ya medicine? kama ndio naomba kujuzwa ni vyuo gani anavyoweza ku apply.. Na kama sio ni...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Msaada mwanangu anahalisha ana umri wa miezi 7 nimempeleka hospital kapatiwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowote, hivyo naombeni ushauri kwa yeyete mwenye utaalamu au uzooefu na mambo...
0 Reactions
2 Replies
758 Views
Habari za wakati huu ndug, Naomba kuuliza kuwa walimu wa shule za msingi waliokuwa wameajiriwa mwaka Jana waliajiri kuanzia GPA ya ngap?
1 Reactions
3 Replies
751 Views
Back
Top Bottom