Habari za muda huu chiefs?
huu ukiwa ni uzi wangu wa kwanza kupost humu JF naomba niongelee suala la usomaji wa vitabu, japo tayari wapo waliokwisha liongelea naomba namm nilipigilie nchi...
Nina ndugu yangu amemaliza kidato cha sita anataka ku appy bachelor degree.
Ni wapi mahali bora zaidi kwa maana ya wahadhiri, mazingira, na ubora wa elimu kati ya chuo kikuu UDOM na sauti???
Kwako waziri wa elimu,
Mimi ni mtanzania ninaye penda shule za serikali zifanye vizuri katika mitihani ya Taifa.
Ninapendekeza shule zote zinazo kuwa za mwisho katika, mitihani ya taifa, ziwe...
Kama mada inavyosema wadau wale tuliosoma a.t.c tukutane hapa,tukumbushie za nyuma kidogo maana huu Uzi in special kwa wale wote waliopitia hapo karibuni sana wadau wote wa civil eng.,electrical...
Nina mdogo wangu amepata TWO YA 12 CHEM C BIOS C PHY S Je anaweza pata chuo chochote cha afya kiwa cha private au cha goverment au nimshauri akasomee nn kwa hayo matokeo
Katika kuangalia matokeo yenu nimegundua walio pata daraja lakwanza point 3,4,5,6,7 nizaidi ya wanafunzi 500, huku MD muhimbili wanachukua 210 na UDOM 90 jumla 300,ushauri Wangu wanafunzi...
Mpendwa msomaji wetu,
Kama wewe binafsi au ndugu yako au rafiki yako anayehitaji kusoma Elimu ya sekondari au kusafisha cheti chake/chako cha kidato cha IV katika mwaka wa masomo 2019...
Wakuu naomba kuuliza je MTU aliyesoma cbg anaweza kupata scholarship kusomea udaktari nje ya nchi kuna rafiki yangu kamaliza six ana div I-9 chem-c, bio-c ,geo-c, anataka Ku apply vyuo vya nje...
Tumeona takwimu za wanafunzi bora kitaifa, shule bora kitaifa. Sasa nakuletea shule zilizofanya vizuri kitaifa kwenye kila somo matokeo ya kidato cha sita 2018.
General Studies - Kemebos (Kagera)...
Habari zenu,
Nina ushauri mdogo kwa wadogo zangu kidato cha 6 wanaotaka kuapply vyuo
Aisee ,msidanganyane huko mtaani,nakushauri kasome kitu unachokipenda,siku hizi hakuna ajira sio...
Ni kipindi kingine tena ambapo wanafunzi wa vyuo vikuu wanaenda nyanjani kwenye mafunzo ya vitendo
Kwa wale walimu- wanafunzi,hasa wa jinsia ya kiume huwa wanaingia sana kwenye vishawishi hasa...
Jamani Mdogo angu anataka kusomea ualimu, sasa katika kuangalia hizi course za ualimu nimekutana na hizi course mbili.Naomba kujuzwa tofauti yake na ili aweze kuwa mwalim aombe ipi?
1. Bachelor...
Wakuu, kuna dogo kapata E tatu{H.G.L} ananiuliza kama anaweza soma degree kozi yeyote ile hapa nchini, mimi nilisoma kwa utaratibu wa zamani kidogo nimeshindwa kumpa jibu naombeni mnisaidie jibu...
Wadau naombeni mnisaidie kuhusu hiii fani ya bachelor of science in cyber security uwanja wake wa ajira umekaaa vipi ningependa kufahamuuu uko vipi.
Maaana nina mdogo wangu amepata scola ship...
Twaweze to soften the issues ahead of you, put it that way: The Statistical Package for social sciences (SPSS) was badly fed and hence the inverse results! :):):):):):). It was garbage in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.