Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Jamani naombeni ushauri, eti CPA ni ngumu ? Mimi nimemaliza degree ya uhasibu IFM mwaka jana ndio nataka nifanye ushauri either nianze au lah.. watu wananitisha sana wanasema unaenda kupoteza ela...
1 Reactions
63 Replies
29K Views
Nina diploma ya ICT naweza soma Degree in I.T Kwa cheti cha Diploma hiyo
1 Reactions
5 Replies
766 Views
Nimepata two ya 12 biology C Chemistry D na physics E naweza pata medical laboratory Bugando? Sabu nimeona TCU wanahitaji uwe na physics E chemistry C na biology D
1 Reactions
19 Replies
1K Views
Mhitimu wa Form six matokeo yangu ni division 3 ya 14 Phy E Chem E Bios D Nauliza Education siwezi kupata? Na kama naweza chuo gani most likely?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimepata 3 ya 14 mchepuko wa PCB, naomba ushauri kuhusu faculty gani ya chuo na ni chuo gani kitanifaa?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Ukiingia kwenye tovuti ya vyuo karibuni vyote utakuta kuna tangazo la kukaribisha maombi ya kujiunga na vyuo hivyo. Lakini tangazo la fee structure unakuta ni hilo hilo la 2017/2018. Huu mara...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Alikua anasoma Eca. G/STUDIES - 'F' BAM - 'F' ECONOMICS - 'D' COMMERCE - 'C' ACCOUNTANCY - 'D Kama ataenda chuo je ni kwa course zipi na vyuo gani ?
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari wana jf namshukuru Mungu matokeo yangu ya kidato ccha sita yametoka vizuri ila nilikuwa naomba ushauri ni chuo gani na faculty gani ni nzuri kwa comb ya cbg kwa matokeo hata:Chem-D...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Nimeanzisha huu uzii ilii wale tuliopita na kusomaa kibaha secondary kwa miaka tofauti tuweze kufahamiana na kukumbushana nyakati na matukio tofauti yaliyopata kutokea enzi hizoo tupoo kibaha...
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Naomba kujuzwa vtu muhim katika bachelor of laws udsm
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Ni shangwe na ndelemo katika baadhi ya familia leo baada ya watoto wao kutusua viliyvo, pia nami nawapa hongera, pole ambao mambo hayajaenda poa. Sasa mtihani mliobakiza ni wa kuchagua kozi za...
5 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimepata ufaulu wa div 3 ya point 17 kwa comb ya CBG ila point zangu hazifiki 4 ninaweza kupata chuo kweli na kama nikipata ni faculty gani ?
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari ya majukumu ndugu zangu. Katika shule za sekondari hapa nchini, wanafunzi hufundishwa na walimu wenye diploma na degree za ualimu. Naomba kujua utofauti wao katika kufundisha, kutoa...
2 Reactions
20 Replies
5K Views
Nimelipa 20,000 badala ya 10,000 NACTE kwa application ya vyuo vya certificate na diploma. Naona msg ya kunipa ya kuthibitisha haiji. Nifanyeje jamani
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Amepata 3 ya 17 form six phy_F bios_E Chem–E Bam-E lakini o-level ana Bios-B Chem-B Phys-C Maths-A English-B je anaweza pata diploma kwa chuo au collage yoyote? Na kozi ipi? Kwa chuo kipi...
0 Reactions
3 Replies
643 Views
Amepata div 2 ya 12, yaani CDE, yeye alichukua HGE
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Sorry ivi ukipata alama gani unaweza kwenda ualimu wa shule ya msingi kupitia cheti cha kidato cha sita?
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Jamani matokeo ya form 6 dogo amepata hivi; History D Geography D English E Sasa najiuliza atapata chuo kweli, na kama atapata ipi course nzuri ya kusomea? Mimi naifikiria Procurement & Supplies
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kozi ya Diploma in Geoinformatics (GFM 4) inatolewa Chuo Kikuu Ardhi (Ardhi University, ARU) kwa ushirikiano wa karibu na Chuo Kikuu cha Twente, kitivo cha ITC. Kozi hii hutolewa Uholanzi pia. Ili...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wakuu, Naomba kuuliza kwa mwaka huu wa masomo 2018/2019 minimum qualification kwa kozi ya LLB ni ufaulu upi?
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom