Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Je, mtu akiwa na Shahada(Degree) ya Elimu(Sanaa), katika fani ya UMEME anaanza na LEVEL I au atachukua DIPLOMA moja kwa moja?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa sasa wanafunzi wanafanya application bodi ya mikopo kabla hata matokeo yao hayajatoka. Application haifanyiki bure wanalipia elf 30 pamoja na elf 16 ya kutumia form. Kwa nini wasisubiri...
4 Reactions
31 Replies
3K Views
Mamlaka ya Elimu ya Ufundi Stadi, VETA, imepewa changamoto ya kupanua wigo wa elimu kujitegemea, kwa kuongeza stadi za ujasiliamali, biashara na usimamizi wa fedha, huku ikipanua elimu ya ufundi...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
(TAKWIMU ZA UFAULU KIDATO CHA NNE (2015) ZINATOA TASWIRA GANI?) Isangula KG Hebu twendwe pamoja hapa. Kulingana na taarifa kwenye Gazeti la Mwananchi zikimnukuu George Simbachawene; 1. Jumla...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
KWANGU MIMI BINAFSI PAMOJA NA KUSOMA RIWAYA, TAMTHILIYA, NA USHAIRI ...... LEO NIMEITIMISHA KUWA HAKUNA HADITHI AU KITABU KIZURI KAMA CHA Passed like @a Shadow KILICHOTUNGWA NA Benard...
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Jamani wadau naombeni msaada nimechaguliwa kwenda hkl ila nataka kubadili ,ni tahasusi gani yenye afadhali katiya hkl, hgl, hgk. Naombeni msaada
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Sorry for any one who knows the registration of form six examination! For private candidate, Please help me.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habar zenu wakuu naomba kuuliza kwamba siwez maths na nahitaji kusoma (ITCS) je inawezekana? Na inatumika wa
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu. Habari za mida. Samahani anaye elewa juu ya upatikanaji wa hii Namba ya AVN naomba msaada wake...nimeiomba tangu Mwezi jana hawajanipatia..msaada wenu
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wadau wa Elimu habari zenu.ninaomba msaada wa namba ya simu ya OFISI YA ELIMU MKOA WA DODOMA au TAMISEMI -ELIMU
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni shule inayomilikiwa na Jimbo katoliki Musoma,IPO km 16 kutoma mjini musoma,tunautangazia umma kuwa masomo ya kidato cha tano tayari yameshaanza na nafasi bado zipo,kwa tahahusi za PCM,CBG,PCM...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
From Accredited Source Form Six Results Will Be Online On 14 July 2017. My Take Ukiona Una Div 2 Please Usiguse Hizi Course Kwenye Hivi Vyuo 1. M.D - MUHAS 2. L.L.B - UDSM 3. PETROLEUM - UDSM...
2 Reactions
60 Replies
34K Views
Naomba majibu yenu wakuu,kati ya hizi shule mbili ipi ipo bora nataka kumpeleka kijana wa kiume huko akapige shule
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wakuu naomben mnsaidie katika hili,Nina mdogo wangu katika masomo ya sayansi ana BCC na D ya mathematic, kachaguliwa HGE ,ndoto yake ni kusoma masomo ya sayansi hasa PCB ,je kwa ufaulu wake...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
N Anaye elewa kuhusu hii mambo ya upatikanaji wa "Award Verfictn Number" msaada wenu ndugu
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika hawa ndugu zetu wanafunzi kuna waliopata na walio kosa.je,kwa hawa waliopata wanayajua matumizi sahihi ya mkopo? Na niyapi? #nawasilisha.
0 Reactions
29 Replies
7K Views
habari wapendwa . naombeni mrejesho kwa wanaosoma chuo hiki je kimesajiriwa , na je kina sehemu ya mafunzo kwa vitendo na ufundishaji wake ukoje? ahsanteni.
0 Reactions
6 Replies
5K Views
Wakuu naombeni munijuze je kuna uwezekano kwa walioangiwa shule kubadili kwenda vyuo vya ufundi kama ''YES'' je unafanyaje
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Tunatoa huduma ya kufundisha wanafunzi kwa kuwafuata majumbani kuanzia primary level mpaka sekondari ikiwa ni njia rahisi na nafuu kwa mtoto kujifunza masomo yanayo mtatiza kwa umakini zaidi ...
0 Reactions
1 Replies
606 Views
Wakuu samahani naomba kujua ni faculties zipi ataweza omba mtu wa CBG akimaliza form 6?Hasa Kwa kuzingatia masomo ya Chemistry na Biology. Asanteni.
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Back
Top Bottom