Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari zenu wadau, mdau ana degree ya kwanza ya Bachelor of art with Education, specilized in linguistics and kiswahili, kaishafanya kazi mwaka wa tano huu sasa anataka kwenda kufanya masters ya...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Kwa wazazi au walezi wenye watoto ambao wana uhitaji watoto wao wasome masomo ya ziada (physics,chemistry, mathematics na biology ) tunapatikana riverside ubungo...... Kwa wanaorudia mtihan...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasilisha
0 Reactions
39 Replies
6K Views
Habari za mda huu wana jamvii Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za majukumu ndugu zangu naomba msaada acounti yangu ya bodi ya mikopo haina option ya kuapload vyeti sijui naweza fanya nini ili kuaplod
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za mda huu wana jamvii Kama kichwa cha uzi kinavojielezea nilikua naulizia kama kuna anaefahamu chuo chochote cha serekali kinachotoa diploma in phamacy anijuze. Nitangulize shukran za dhat
0 Reactions
4 Replies
1K Views
majina uhamisho yametoka! Jana usiku! lkn jina langu silioni na hata niliyebadilishana naye halioni natulikamilisha process zote Hadi mkoani! ninaomba msaada tafadhali nifanyeje naje kunayeyota...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapendwa wangu napata shida ku upload documents yaani barua na vyeti vyangu kwenye website ya OTEAS http://196.43.65.187 Naomba kwa yeyote mwenye namna ya kunisaidia maana kila nikijitahidi...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kwa waliosoma zamani kidogo hawatanielewa. kwa wanaosoma sasa watanielewa na wanaoshiriki ama kuchangia kulipa ada kwa wanafunzi wa vyuo kwa ngazi zote watanielewa. katika vyuo vya umma na vya...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Nimefuatilia tafiti nyingi zinaonesha kwamba vikwazo vingi katika sekta ya elimu husababishwa na mambo yafuatayo:- 1) Umaskini 2) Kupata mimba 3) Mila na desturi 4) Upendeleo wa kijinsia katika...
0 Reactions
0 Replies
760 Views
Naanza kusoma mwaka huu out katika bachelor of art in education (BAED) nahiajikujua ili nijipange kukabiliana na hizo changamoto kwa kuanza na msingi mzuri. Ahsante.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hamjambo wapendwa? Poleni na kazi maana najua lazima mnashughurika tu. Naomba mwenye scheme of work ya Geography O-Level (sylubus mpya) na Advanced Mathematics anitumie ikibidi kwa email yangu...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ndugu zangu humu ndani Kuna tatizo limenikuta hapa katika kujaza fomu online ya kuomba mkopo kwa watu wa form six. Kuna step nikifika inagoma kuendelea namaanisha haifunguki tena. Ni...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari ya mihangaiko wanajamii, Nina kitu naomba niulize, kwa mwenye kufahamu, hasa wale ambao tunaoomba mkopo wa elimu kutoka HESLB, na tumepitia DIPLOMA... Hii AWARD VERIFICATION NUMBER...
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Naomba ushauri kwa wenye experience na masomo ya postgraduate kupitia Open university of Tanzania, Nafikiria kusoma masomo ya (MPM) MASTER OF PROJECT MANAGEMENT. Nimeona kuna optiona kama nne...
0 Reactions
17 Replies
7K Views
Napenda nifahamishwe kwa wenye uelewa gharama za masomo kwa Open University of Tanzania zipoje kwa shahada na masters mwenye uelewa atoe info
1 Reactions
11 Replies
16K Views
salaam. wana jamVi. nmemaliza form six juz nikapata divition 2 naomba msaada wenu mnipe ushaur wapi nitapata mtu wa kuniwezesha kwenda kusoma nje yaa nchi kwan ni ndoto yangu ya kila siku na...
1 Reactions
65 Replies
10K Views
Habari zenu wadau. Naomba kuelewa sifa za kuwa lecturer katika ngazi ya Certificate na Diploma unatakiwa uwe na sifa zipi??
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MAENDELEO YA WAHUSIKA KATIKA RIWAYA YA KISWAHILI TANZANIA J.S. Madumulla Katika uhakiki wa kipengele cha mhusika katika riwaya ya Kiswahili, mtindo wa uhakiki wa ‘kijadi’ umetokea kutumika...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION(TOGPA) Do you know how to explore crude oil? here are 15 steps to follow. EXPLORATION OF CRUDE OIL. 15 STEPS TO FOLLOW 1) Know that oil is found...
1 Reactions
1 Replies
697 Views
Back
Top Bottom