Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Wadu sorry mwenye Elimu kuhus Bachelor ya Biotechnology
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ukijaza personal informations hakuna burton ya kuendelea kujaza machaguo ya kozi, transcripts, certificates etc.
0 Reactions
0 Replies
914 Views
Form six result 2018 loading...
0 Reactions
1 Replies
39K Views
Nawezaje kupata joining instruction za chuo cha ualimu MPUGUSO
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wanajamii forum Nilikuwa naomba kuuliza kuhusu hii page ya MWALIMU WA KISWAHILI sio matapeli kweli maana nilikuwa nataka nisome vitabu hapo lakini wanataka kuilipia online sasa kabla...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau vipi. Poleni na majukumu ya kila siku sana zaidi nitoe shukrani zangu kwa uongozi wa JF kwa kuturudisha hewani. Tukirudi kwenye mada. Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Nimehitimu...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Naupongeza uongozi wa chuo kikuu IFM kwa kutangaza nia ya kufungua tawi lake Dodoma. Ombi: Tunaomba Vyuo vikuu vingine kama UDSM, SAUT, Tumaini vifungue matawi yake makao makuu ya nchi Jijini...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu Habari Zenu? Kwa Wale Wanaoifahamu Hii Shule Naomba Watujuilishe Je Shule Hii iliyopo Dar-es-Salaam Haina Mwalimu Hata Mmoja Wa Kusomesha hata Somo Moja La Kiswahili? DIV-I = 0 DIV-II = 0...
3 Reactions
48 Replies
9K Views
Sifa za udahili ngazi ya degree mwaka wa masomo 2018/2019
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za asubuhi wadau wote wa Jf. Jana niliangalia kipindi cha "MWANAZUONI WETU" kinachorushwa TBC 1. Jana walirusha kipindi hiko wakiwa chuo kikuu cha UDSM, Mada kuu ilikua ni umuhimu wa...
1 Reactions
46 Replies
5K Views
Sio siri tena baada ya moja ya inayosadikiwa kuwa document iliyosheheni hoja za mmoja wa wagombea anae dai kuwa ndiye aliyeshinda uchaguzi wa URAIS UDSM Bwana Evarist Matulanya ku leak, kulingana...
0 Reactions
56 Replies
9K Views
Wale waliofukuzwa chuo pale Bugando ambao ni Rais wa chuo na Waziri Mkuu wake; hivi wanalala kweli usiku? Maana wazazi wanavyohangaika kutafuta ada halafu unafukuzwa chuo, labda kama walikuwa ni...
4 Reactions
54 Replies
6K Views
Wanafunzi wa certificate na diploma tanzania yote tukutane hapa, tubadilishane mawili matatu. Comment wewe unatoka chuo gani, Mimi naanza; natoka NDANDA SCHOOL OF NURSING-MTWARA CLASS 2020
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa anayejua namna yakujisajili ili kupata transcript Nacte maana ukiingia ktk web yao maelezo hayaeleweki na ukituma pesa wanakata na maelezo yao hayaeleweki ,ukiwapigia inachukua wiki nzima...
0 Reactions
5 Replies
12K Views
Elimu yetu ina enda kusiko julikana... ina shangaza watu wamesoma na kuhitimu ina wezekana na ajira wamepata wana hudumu sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, alafu baadae tuna kuja kufuta kile...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jukwaa Kuna mtu aliniuliza hili swali nikashindwa kumpa jibu Anataka kwenda kusoma degree ya maendeleo ya jamii na anataka kukaa nje yaani kupanga Kati ya chuo cha bamaga mwenge na...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Nashindwa kutambua/kuelewa nini chanzo cha TAMISEMI kuchelewesha selection za wanafunzi watakaojiunga kidato cha tano mapema July mwaka huu. Hadi sasa tumebakiwa na siku 21 tu/week 3 mwezi huu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari JF. Nisehemu gani naweza pata mterials ya advance comb za science kwa dar? Kama vile ma pamphlet ya walimu maarufu na vitabu pia, na unanishauri ninunue pamph za mwalimu gani na vitabu vya...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Imepita takribani miezi 7 tangu firm 4 2017 wamalize mitiani na takribani miezi 5 toka kutangazwa kwa matokeo. Cha kushangaza mpaka sasa wanafunzi hawajui hatima yao huku shule za binafsi zikiwa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Ninavyokumbuka ni kuwa kulikuwa na kipengele cha kuandika namba ya akaunti kwenye maombi ya heslb online. Kwa sasa sikioni. Je kwa waliojaza tayari hicho kipengele walikiona na walijaza? Je ni...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom