Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
The Government of The People’s Republic of China has made scholarship offers to the African Union Commission, through the Department of Human Resources, Science and Technology, to enable African...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Najiuliza vijana wamefanya mtihani wa form4 October mwaka jana, March/April (miezi 5/6 baadae) tumekuwa na uombaji wa kujiunga na masomo chini ya NACTE na Vyuo vikuu Vichache. Selection za F5...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Ebwana mi nimechaguliwa kujiunga na fm 5 PCM OLD MOSHI na nataka mnishauri nibaki ama niende PCB,coz nahofia ajira mbeleni.
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Institute of of Procurement and Supply (IPS) kinawatangazia kuwa kimeanza kutoa mafunzo ya Public Private Partnership (PPP) kwa watakaohitaji wasiliana nasi kupitia namba hii 0718476238
0 Reactions
2 Replies
1K Views
KAFARA ZA BILLY GATES NA UOGA WA KIZAZI CHA MTANDAO. Mnamo mwaka 1974 majira ya joto bara la Amerika ya kasikazini, vijana wawili marafiki wanaona Tangazo la toleo jipya la tarakilishi. Tangazo...
5 Reactions
20 Replies
4K Views
Huenda hata jina nimekosea (japo sina uhakika). Naomba kujulishwa ni kozi gani za afya wanatoa kwa ngazi ya diploma. Nataka nisome Clinical Medicine. Na kama itawezekana naomba nijulishwe vyuo...
0 Reactions
17 Replies
18K Views
Kuanzia mwaka 2015 na kuendelea kuna wimbi kubwa la shule nyingi za Private kufungwa ama kubadilishwa matumizi. Hata zile ambazo bado zipo zina survive lkn zinajikongoja kwa taabu kubwa sana...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Jamani naomba kuuliza jinsi ya kujisomea A level kwa mwanafunzi was michepuo ya sanaa[emoji26] [emoji26] [emoji26]
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Utafiti uliofanywa ni watafiti kutoka Chuo Kikuu cha Harvard na vyuo vingine vikuu vya Marekani kuna uhusiano wa "kuaminika" kati ya viwango vya juu vya joto na mafanikio ya shuleni. Vipimo vya...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
helow! ndugu zangu naomba kujua procedures za kufuata kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo pindi anapotaka kutuma maombi ya mkopo,bodi ya mkopo (heslb) afanyaje ili aweze kuambatanisha na...
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Wadau naomba kwa yeyote anayejua kama tangazo la kutuma maombi vyuo vya afya intake ya september je limetoka? naombeni msaada wenu tafadhali anayejua anijulishe
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wanajamvi habari za leo? Naomba kama kuna mtu anaweza kunisaidia NECTA examiners report (especially kwa mitihani ya kidato cha nne) niko interested sana na somo la History. Kuna wakati nilipata...
1 Reactions
6 Replies
8K Views
ArcGIS can do the best work in coordinates conversion from one format to another with highly accurate which will keep #Spatial #Analysis to be great..Friends welcme all together to Learn this task...
0 Reactions
1 Replies
634 Views
Habari wadau, Nina jirani yangu yeye ni mfanyakazi wa serikalini, mwaka jana alirisiti mtihani wa kidato cha nne na kufanikiwa kupata credit 3 sasa ana mpango wa kufanya mtihani wa kidato cha 6...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tangu miaka ya 1930, serikali ya Tanzania iliweka utaratibu wa kupunguza upungufu wa madaktari bingwa nchini. Kwa mujibu wa utaratibu huu, kuna ngazi tatu za wataalam wa huduma za afya. Ngazi...
1 Reactions
4 Replies
15K Views
Wakuu! Heshima kwenu. Nina research project nafanya katika shule mbalimbali zilizopo dsm, hasa za kata. Ninaomba msaada wa kuelekezwa wapi shule za sec. za DSM zinapatikana. Uzi huu uwe maalum...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hivi wadau applications za vyuo kupitia TCU walisha anza au bado?
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam. Nianze na kumshuru m/mungu mana nilichokua nakitaka nimekipata, miez kadhaa ilopita nilileta uzi apa nikitaji cd au dvd kwa masomo ya o level . Juz nimeckia clauds kuna mwl katangaza ana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari za wakti huu msomaji... Ni matumaini yangu kwamba u mzima wa Afya na umeamka salama kutimiza majukumu yako ya Leo. Leo ni siku muhimu usikubali ipotee. One day can make you grow. Karibu...
10 Reactions
20 Replies
4K Views
Back
Top Bottom