Wakuu,
Tujikumbushe enzi nzetu kidogo na tuone nani alikuwa nondo na nani alikuwa kilaza enzi zake akiwa sekondari.
Tupia somo lako pendwa hapa tukudunge swali.
Au weka swali la somo lolote la...
Baraza la Taifa la Elimu na Ufundi ( NACTE ) limevifungia vyuo 20 kutokana na mapungufu mbalimbali.
Kikubwa tuwe makini na vyuo vya uchochoroni maana sasa hivi ni rungu tuu. Orodha kamili ya...
Ningependa kuuliza je mimi ni kijana niliyemaliza kidato cha nne mwaka jana na kufanikiwa kupata division two..Je ninaweza kuapply chuo chochote Tanzania na kuanza kusoma kwa level ya diploma au...
Kwa miaka mingi wengi walizoea kuona wasomi walio wengi wa taaluma wakibaki kufundisha vyuoni hadi kumaliza utumishi wao.
Hata hivyo, miongoni mwao, wachache walikuwa wanapata fursa adhimu za...
Kwanza kabisa niungane na Watanzania wote katika kuomboleza msiba mzito wa wapendwa watoto wetu Maria na Consolata.
Kutokana na jinsi wazazi, Walimu na hasa mapacha walioungana Maria na Consolata...
Habari WanaJF,
Mimi nipo kwenye tasnia ya elimu hasa shule binafsi za International..
Nimeshuhudia watoto wanaanzishwa shule wakiwa na umri wa miaka 3 hadi 4 na anafuatilia kitaaluma hivyo...
Habari zenu.
Naomba mwenye taarifa za lini wanafunzi waliomaliza kidato cha 4 mwaka 2017 watapangiwa shule za serikali kwa ajili ya kuendelea na kidato cha tano anijuze. Au kama tayari...
- Ubadhirifu wa fedha za wanafunzi masikini unaokadiriwa kuwa Zaidi ya billion 2.
- Wanafunzi hulipishwa Tsh 200,000/= ya matibabu ya Bima ya NHIF huku gharama za bima ni Tsh 50,400/=
- Ada...
Kwa wale wanaowafahamu vijana wacheza basket, kuna scholarships kwa ajili ya vijana kwenda USA.
Umri uwe kuanzia miaka 12-16.
Awe na kipaji kweli kwakuwa atahitajika kurekodi video ya dakika moja...
Ivi ningependa kufahamu GPA ya CO kwenda MD ni ile inayopatikana baada ya kufanya Final exam au ni Cumulative GPA ya Mwaka wa mwisho(1st&2nd semester)ama ni Cummulative GPA ya miaka yote...
Wandugu samahanini,mimi n mhitimu wa diploma koz ya kilimo sasa mwaka huu nilihitaji kusoma sasa nimeanza kujaza taarifa za awali hizi kujaribu kuomba mkopo nimekutana na inshu ya awards...
kama tunavyo jua tarehe 6/08/2017 HESLB inafungua mfumo wake kuruhusu wanafunzi kuomba mikopo, na mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 4/09/2017.
Huu uzi uwe special kwa matatizo, maswali, dukuduku...
Habari wanajf
Baraza la mitihani Tanzania lilitoa tangazo la kutoa vyeti mbadala kwa waliovipoteza.
Kwenye tangazo lao wanasema vyeti hutolewa siku 30 baada ya uchunguzi
Kufanyika ila cha...
Habarini za kazi ndugu wapendwa,,naomba kuuliza ivi kama mtu akihitaji kusoma advanced diploma ya clinical medicine kwa kutumia cheti cha form six anafanyaje?
Hanari za mida hi wanajukwaa
Nilikuwa napenda kujuzwa au kuuliza kuna vyuo gani vya serikal vya diploma in clinical medicine vinavyopatikana mkoa wa Arusha na Kilimanjaro.
Naombeni msaada wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.