Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Hello all JamboForums users. I'm from Ukraine (do you know this country? :) ). Now it's to hard for me search any information in African internet because I don't know your languages and don't know...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Kama kawaida ya mwongozo wa vyuo kutaka kila chuo kuwa na serikali za wanafunzi kwa ajili ya kushughulikia maswala mbalimbali ya wanafunzi kwa ustawi wao na taaluma yao. Kesho tarehe 01/06/2018...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Hatimaye matokeo ya cpa yaliyochelewa yatolewa ni yale ya Nov 2017, waliopata CPA ni 450, kwa matokeo kamili pitia link hapo chini ,hongera kwa wote waliofanikisha www.nbaa.go.tz news
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Katika ile hali ya kutaka kila kiongozi aonekane anawajibika,walimu Simiyu wameambiwa kipindi cha likizo waende makambi kufundisha form 2&4.Hakuna posho,wa mahala pa kulala,eti watatumia ofisi na...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mwenye joining instruction za DAKAWA TEACHERS COLLEGE maan dah siwaelewi kabsa jamaa..mpaka post zinatoka ilikuwa nikwamba nisubir mpaka chuo kitakapo wasiliana na mimi...lakin siku...
2 Reactions
31 Replies
11K Views
Nimekaa na kufikiria kwa kipindi sasa,mwisho nimegundua ukweli kuwa tatizo la wasomi tanzania bado lipo. Kwa akili yangu, mtaalamu ni mtu huru asiye na ushabiki wala upande kwa nafasi yake ya...
0 Reactions
1 Replies
785 Views
Wakuu habari, Natafuta shule nzuri ya nursery ya kiislamu iliyopo Dar. Ikiwa anayefahamu na gharama zake za ada itakua vema zaidi na contact zao.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Q.1 Local healer from Nanyumbu Distict claimed that eating Kisamvu among people living with HIV reduces viral load. A study was designed to examine the effect of Kisamvu on viral load among HIV...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Guys naombenii tusaidiane kuhusu info ya somo la computer. Je ni kuna combination yoyote ya masomo ya A-level inayohusisha somo la computer?? Kama ipo ni inapatikana shule zipi nchini Tanzania...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wadau Napenda Kufaham Fursa Kwa walimu wa mahitaji maalumu au wasomi wa hii taaluma. Je wanahitajika sana au ni the same na walimu wakawaida. NOTE- Walimu wa Mahitaji Maalumu Ni waalimu ambao...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Msaada wanaJF
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Hyy, wanaJF, naomba mniwekee chat ya vipimo vya uzito kutoka kipimo kidogo kwenda kipimo kikubwa.. Vyote kwa pamoja.. Nitashukuru sana.
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Habari za majukumu wakuu kulikuwa na taarifa kuhusiana na mikopo kwa wanafunzi wa diploma katika fani za kilimo, afya na ualimu lakini umepita muda sasa sijasikia chochote kuhusiana na ili suala...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri kuna swala moja linanitatanisha sana mwaka Jana nilifanya application chuo kikuu SUA kwa bahati mbaya first selection sikuchaguliwa nika apply tena second application...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau, Naomba mwenye kukifahamu vizuri hiki chuo anisaidie coz nahitaji kujiunga ila nahitaji nifahamu vitu vichache kabla ya kujiunga. Kwanza nilikua naomba fahamu Teaching Method yaan lecture...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mnaokifahamu chuo cha social works cha Kinondoni. Naombeni mniambie kama ni kizuri na pia kama kina hostels karibu. Nafwatilia majibu yote wapendwa.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika kujisajili kwa mwanafunzi wa chuo kupata mkopo kwanini pale wanapokosa bodi husika isifanye pia mkakati wa kurudishia watu hela za watu maana ni hela nyingi za watu zinatumika kufanya hicho...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Heshima kwenu wana JF, Kuna baadhi ya waandishi wamebarikiwa na Mola kuandika vizuri lakini pia wamejifunza zaidi kuwa wajuzi na wabobezi wa kuandika tamthiliya, riwaya na ushairi kwa ustadi na...
2 Reactions
37 Replies
8K Views
mawazo yangu kuhusu kutokuwapa mikopo watoto waliosoma shule za kulipia ni makosa makubwa na aliyotoa hilo wazi akufikiria vizuri,kwani kama ni hoja kwamba wanaosoma shule za kulipia ni watoto wa...
0 Reactions
0 Replies
827 Views
Back
Top Bottom