Wana JF,
Mimi kama mdau wa Elimu, nina mengi ya kutolea maoni, kwa usiku huu naomba nijikite kwenye Lugha ya Kiswahili.
Lugha hii (kwa msiojua) imekuwa ikigombaniwa Utambulisho wake, yaani...
Kimsingi elimu ya kitanzania ni moja ya elimu isiyofaa katika dunia ya leo, mfumo wa elimu ya tanzania umeunganishwa na siasa na kujichimbia katika siasa,jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa elimu...
Ni muhitimu kidato cha nne 2016 lakini mpaka sasa tunaambiwa kuwa vyeti vyeti havijatoka naomba kupata msaada katika hili kwa mwenye mwongozo kama yupo??
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hali ya kusikitishwa afisa elimu taaluma elimu msingi Moshi manispaa si amelipwa malipo yasiyofahamika na chama cha walimu Tanzania {CWT}.
Mwalimu huyo jina limehifadhiwa amekuwa akilipwa...
Mtoto anajifunza dunia inayomzunguka kutokana na michezo. Sense ya kwanza ya mtoto huwa ni mdomoni, chochote anachoshila atataka akifahamu utamu wake kupitia mdomo. Cha pili ni makali mpaka utu...
Kuhusu suala la mikopo kwa wanafunzi wa kidato cha sita 2018 limekaaje maana
1. Bado mitihani inaendelea
2. Posts za JKT zinatarajiwa kutoka.
3. Viambata ambavyo ni Results Slips bado.
Imekaaje...
Habari za muda huu wana jukwaa!!
Nimeangalia website ya chuo cha usafirishaji naona haijaruhusu maombi ya kujiunga na chuo mwak 2018/2019
Ni kweli hawajaruhusu maombi ya kujiunga na chuo kwa...
Nitangulize Salamu, habarini wakuu
Kwa mara nyingine nakuja na hii. Mimi ni muhitmu wa kidato cha 6(sina elimu zaidi ya hapo) ambae nina uzoefu mkubwa katika kufundisha somo la hesabu (O & A...
Wadau jukwaa la elimu na walimu wenzangu mkuje tuelezane kwenye vituo vyenu vya kazi hali ikoje?
Kipi kinachotakiwa kufanyika kwenye ufanyaji wa hii mitihani ya kumaliza muhula wa kwanza shule...
Msaada ndugu zanguni tafadhali
Habari za mchana,
Naomba moja kwa moja niende kwenye tatizo,nina mdogo wangu kamaliza kidato cha nne mwaka jana 2017,na ufaulu wake ulikuwa hivi
Kiswahili C...
*KESI YA NIDHAMU MTOTO WA PROFESA*
Mtoto katoroka shule kurudi akakamatwa na baada ya kumchunguza ikaonekana mtoto kalewa kumaanisha alitoka kunywa pombe.....
Kikao cha nidham kikaridhia kumpa...
RUAHA CATHOLIC UNIVERSITY (RUCU)
FORMER RUAHA UNIVERSITY COLLEGE (RUCO)
IRINGA
APPLICATIONS FOR ADMISSIONS INTO DIPLOMA AND CERTIFICATE PROGRAMMES FOR THE ACADEMIC YEAR 2018/2019.
Ruaha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.