Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Habari wanaJF, Mimi ni kijana wa Kitanzania niliyeona uhitaji wa mafunzo na elimu ya kawaida ya computer katika jamii yetu na technologia zake au TEHAMA. Nimeanza kutoa mafundisho ya kawaida...
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Naomba kwa yeyote anayejua sehemu wanapofundisha Accounting Packages hasa Quickbook anisaidie kwani nina hitaji ya kujifunza kwa haraka tayari kwa kuifanyia kazi ambayo nipo nje ya muda. Naomba...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa Mwanafunzi wa Kidato cha Sita Mchepuo wa PCB matokeo physics>D , chemistry>S, Biology>D , Bam>F ,G/s> S . Naomben Mchango wa mawazo juu ya Akasomee Faculty gan Kwa ngaz ya Degree ? NAOMBA NA...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baraza la mitihani NECTA hawajatupatia vyeti vya matokeo vya kidato cha nne kwa wale waliomaliza kidato cha nne mwaka 2016.kila tukifuatilia tunapigwa sound. Wanasema vitatumwa kwenye shule zetu...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu, Mimi nilichaguliwa UDSM course ya TEXTILE DESIGN ila sikuikubali kiufupi nikahamia DIT kusoma LABORATORY. Sasa mkopo wangu umehama fresh ada na kila kitu nilikuwa naomba muongozo kwa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za kazi na majukumu mbalimbali wana jukwaa naomba kufahamu ikiwa form six amepata division three kwa comb ya CBG anaweza soma course zipi kwa ngazi ya stashahada naomba msaada wenu
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Minimum research inatakiwa isipungue page ngapi? msaada wakuu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani mwenye uelewa na tangazo hili anisaidie. Sijaelewa vizuri. Admission hii ni kwa waliomaliza form, 4 2017 ambao matokeo yametoka juzi? AU ni ya last intake sasa wanajazia mashimo ie...
1 Reactions
25 Replies
13K Views
Wadau naombeni kunijuza application ya kozi za uuguzi kwa vyuo vya serikali kunaanza lini maana ile round ya mwezi wa nne haikuhusisha vyuo vya government. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau naomba kujua artisan anakuwa anasomea nini?na hasa anafanya kazi gani?ili uweze kusomea artisan unatakiwa uweje
0 Reactions
19 Replies
6K Views
Wana JF wenzangu, Tukumbushane enzi zile tulizokuwa shule za secondary kile kipindi cha debate na morning talk (speech).Bila kusahau motion mbali mbali zilizokuwa maarufu enzi tupo shule. Mfano...
1 Reactions
32 Replies
6K Views
Mwenye taarifa kamili ya wanafunzi wa Tumaini university Makumira-Mbeya ambao wanatakiwa wakafanyie mitihani yao Compus ya Makumira-Arusha, atujuze hapa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Pitapita zangu zimenifikisha hapa. Someni kiambatanisho hicho na mujitafakari. Wazazi pia wanaweza pata cha kusema juu ya elimu yetu na matumizi ya pesa tunazotumia kutafuta shule tunazoita...
1 Reactions
1 Replies
918 Views
Habarini za jioni wapendwa ,, tumaini langu wazima Wa afya ,, kama kichwa kinavyosema hapo juu nilikuwa naomba msaada juu ya vyuo vya mifungo na sifa ya kujiunga na hivyo vyuo matokeo Haya hapa ya...
0 Reactions
12 Replies
9K Views
Msema kweli mpenzi wa Mungu, Nilisoma kayumba nursery hadi chuo.Kingereza changu ni kibaya sasa ya mungu Mengi kuna jambo nataka kufanya nahitaji kujiongeza. Naombeni ushauri wapi wanafundisha...
4 Reactions
132 Replies
10K Views
Nina shida ya mwalimu mzuri wakuwafundisha watoto wangu tuition wa darasa la kwanza na la pili nitamlipa vbizuri tu ,niko maeneo ya kibada-kigamboni .kama nitapata wa maeneo haya haya nitafurahi...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Nisaidieni Jibu Tafadhali, Naamini Humu Hamtashindwa
0 Reactions
31 Replies
6K Views
Habari wanajamvi. Naomba mwenye uelewa wa chuo kinachotoa short kozi za marketing na taarifa zingine zinaxoambatana na kozi hiyo kama lini intake mpya inaanza madomo, ada, etc. ninahitaji...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Back
Top Bottom