Kwa wataalamu wa lugha yetu hii ya kiswahili
Hivi tunasema utakufa kwa njaa au utakufa na njaa?
Kama kuna maneno mengine tuyawekeni hapa tudumishe lugha yetu.
Naomba mnisaidie wenyekujua Mimi nimesoma masuala ya procurement, nimepata elimu hiyo kwenye bodi ya wataharamu wa ugavi na ununuzi, psptb. Nimefikia level inayoitwa p3 . Natakakujua Kama kuna...
District council is also composed by three members appointed by the Ministry for Local Government Authorities. One of them is (DED) District Executive Director mention others (two).
Habari wana jamii, kwa mda mrefu nimekuwa na ndoto ya kujifunza mambo kadhaa kwenye courses za biashara kwa ngazi ya certificate/Diploma leval hivyo ninaomba kwa yoyote anaesoma au anaejua topic...
Habar Zenu Wana Jf Naiman Mko Vyema Nitangulize Shkran Zangu Za Dhat Kwenu Wana Jf
Mimi Ni Kijana Ambaye Nimezaliwa 02.01.1997 Nimemaliza Shule Ya Msingi Daras La Saba Mwaka 2013 Bahat Mbaya...
Jamani, au ni mimi tu?
Maharage yalinichosha sana wakati nasoma, nashauri serikali itafute mbadala wa maharage, mfano dagaa, mbaazi ama dengu
Nini maoni yako mdau wa elimu?
Habari ndugu zangu.
Naomba anaefahamu wapi kuna shule ya serikali(Kidato cha kwanza hadi cha sita) ambayo ipo karibu kabisa na maeneo yafuatayo(karibu na barabara ya lami yenye daladala za moja...
Kwa anae hitaji ufundi wa simu anione soon class itaanza smartphone na zile za Batan ppt ulipo class itakufika na ufundi wa simu una pande mbili hardware na software
Hardware ni repair ya divice...
Swala la bodi ya mikopo kuendelea kubadilisha vigezo kila mwaka tena visivyo na tija ni, muendelezo wa kukwepa majukumu ya kusaidia wanafunzi kutimiza ndoto zao za kupata elimu.
Hii sio bahati...
Habari wana jf kwa anayefahamu hichi chuo
wanafanyaje Udahili na wanaanza mwezi wangapi intake mpya kwa programme ya diploma in pharmaceutical anijulishe.
Nimeona wanakopesha watakaosoma LAW SCHOOL na NELSON MANDELA tu!: hiv kweli unamkopesha mtu wa sheria unamuacha daktari wa binadamu MUHAS kusoma masters?
Unamlipia mtu Nelson Mandela...
My learned friends I come before you to at least get some tips on how to handle Advanced Level physics. I have committed a lot of my time to study it but I find myself to be empty when answering...
It has been so long guys.Hawa jamaa washapata mwenyekiti wa bodi, ambaye inasemekana ndo alikuwa kikwazo kwa matokeo ya mitihan iliyofanyika Nov mwaka Jana kutoka . Mbona bado kimya wadau? Kuna...
Poleni na majukumu ya kujenga taifa,
Kijana wenu nataka kurudi shule pale mlimani, nimewaza na kuwazua, nimeona niwashirikishe katika hili. Ipi kozi nzuri ya kuenenda katika hizo mbili ili kuweza...
Habari
Mimi ni biologist nimegraduate two years back ,So nimeamua kuanzisha huu uzi ili tuwe tunapeana updates na news about this carrier.
For now mimi nipo nafanya temporary work kwenye industry...
Habari za leo Wana JF,
Natafuta full scholarship katika level ya Masters Degree ktk field ya Environmental Science/Biodiversity Conservation.
Nitashukuru sana nikipata maelekezo/msaada wenu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.