Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Anaejua chuo kinachotoa master ya Transport and logistic management naomba kufahamu.
0 Reactions
14 Replies
37K Views
niende moja kwa moja kwenye lengo,je ni mahitaji gani ya msingi kabisa ambayo unatakiwa kuwa nayo ili kuanzisha maabara ya kisasa kwa ajili ya practicals za physics kwa olevo na advance!? Naomba...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za usiku wanaJF nina shida na duka lolote linalouza vitabu kwa hapa DSM, vitabu mf wa The Davinci Code Origin Angels and Demons Alchemist 48 Laws of Power Mastery How to influence People...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
Habar zenu wadau.. Hv hiz mashine za efd znatolew bure kama nnavoskia au znanunuliwa..? Na kama znauzwa bei ya chini kabisa n shingapi na nini umuhimu wake katika ulipaji wa kodi..?
1 Reactions
3 Replies
802 Views
Naomba kuuliza nina four ya 27 naweza pata certificate ualimu?
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari Wakuu, Huwa Kuna Swali Moja Linanisumbua Sana Akilini, Mtu Aliyesomea Course Ya Community Health Anaweza Kujiendeleza Kwenye Course Gan Ya Afya??? Nakama Hapo Ndo Itakuwa Mwisho Wake, Ajira...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Waheshimiwa habari za asubuhii hiii Naomba kupata maarifa kuhusu masomo ya public health masters yenye changamoto katika usomaji. Namatumain sio yote ila kuna baadhi ya masomo yenye ukakasi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari zenu wana jf kwa wale wote wanaotarajia kujiunga na vyuo mbalimbali vya kozi za afya kwa mwaka 2018/2019 tukutane hapa kupeana ushauri kidogo.
1 Reactions
50 Replies
12K Views
Mim ni muhitimu wa shahada ya ualimu mwaka 2017 ktk fani ya elimu BaED, sasa kutokana na changamoto za ajira nimewaza vitu vifuatavyo, Kusoma tena certificate ya fani nyingine. Au Kufanya...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Wanajukwaa samahani kwa usumbufu Nilikuwa naomba msaada kwa anaeijua hii shule,, kama kuna mwanafunzi anayesoma, au kuna mwalimu anaefundisha hii shule IGALULA SEC SCHOOL, ipoo Tabora, Uyui...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Discuss the applicability of Organizational Models in Educational organization especially in Secondary school level.
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari wakuu,poleni na majukumu. Naomba mwenye uelewa mzuri juu ya namna ya kujisajili ili kuwa mtahiniwa binafsi wa mtihani wa kidato cha 6.Nimehitimu kidato cha 4 mwaka 2010. Pili,napendelea...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Msaada. Naomba mwenye course outline ya Principles of Taxation anisaidie.
0 Reactions
4 Replies
774 Views
Wana JF,naomba mnisaidie(kwa wanaofahamu) matokeo ya selection ya chuo cha kilimo Ukiriguru.AHSANTEN!
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Heshima mbele wakuu, naomba kujuzwa kama hawa watu wa Open University (chuo kikuu huria) Kama wanatoa diploma ya Business Management. Nahitaji kusomea hiyo kozi lakini nina certificate ya General...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Si hungehairishwa huu mtihani.wakaongezewa ata miezi mitatu.mbona kama ka uonevu Fulani iv.iv hii miaka miwili kweli hii
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Community health twendeni Kenya, uganda na zambiat tukasome diploma ya community health ikiwezekana tuunge hadi degree, alafu turudi bongo kula maisha. Nimefuatilia Kenya wanavyuo vizurii sana...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Nia ni kupeana ushauri na updates za koz hii kwani tumekuwa kma watt yatima tusokuwa na mber wala nyuma yaan mpka sasa najiuriza juu ya Chws sipat majib labda kuna anaefahamu juu ya koz hii job...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Mara ya kwanza kabisa, niliwahi sikia kauli ya namna hiyo kwa katibu wa wizara ya elimu mstaafu "Maimuna Tarishi " akisema kama umesoma private school hupati mkopo. Kauli hii tuliipinga vikali...
4 Reactions
15 Replies
5K Views
Back
Top Bottom