Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Idadi ya watahiniwa waliomaliza form four mwaka Jana.ambao wamefaulu kuingia kidato cha tano mwaka 2018 ni wangapi? Naomba kusaidiwa idadi yao kwa ngazi za division walizopata
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Jaman naombeni mwenye syllabus ya science and maths ya shule za english medium ya darasa la 6, Nitumien hapa au link itakayonisaidia kupata. Asanteni
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Napenda kujua kwa wanaofahamu kwamba vyuo vya ualimu kuna BTP kwa mwaka wa kwanza 2018...maana kunatetesi nyingi sina uhakika kwa anaejua anambie
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau kwa wale waanga wa mikopo mwaka jana na wale wanaotarajia kuomba mwaka huu tukutane humu tupeane nasaa changamoto na hata mijadala yenye afya kuhusu masuala yote yanayohusu mikopo kwa mwaka...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii ni kwa lengo la kuondoa utata na kuwezesha sisi wazazi kujipanga . Ni vema kufanya hivi ili wananchi wajionee wenyewe sheria iliyotungwa na bunge inataka nini kuwezesha watoto wetu kupata...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu habari za jioni. Nimesoma mwongozo wa utoaji mikopo ulioachiwa na bodi ya mikopo kwa vyuo vikuu nchini ila kuna sehemu nahisi sijaelewa. Ni Sehemu ya kwanza, kipengele namba (vii)...
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Za mda huu wanajopo. Naomba msaada wenu kwanza nijue tofauti ya computer -science -IT -ICT Na pia nijue ktk hizo ni kozi gari ni bora na itaniwezesha kucheza vyema na mitandao kisha naomba...
0 Reactions
13 Replies
9K Views
Habarini ndugu zangu, mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu, nimekwama ada kias cha laki mbili, nipo dar, naomba kwa yeyote anikopeshe kwa dhamana ya cheti changu cha Form 6.Nitamrudishia muda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Wakuu, nimeingia chumba cha mtihani WA kitado cha sita kama PRIVATE CANDIDATE katika tahasusi ya HKL lakini sina lolote kichwani, Sijawahi kusoma toka 2012. NIFANYEJE.......?
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wana jamvi, mimi nina kadigrii ka ualimu elimu maalumu GPA nzuri. "Specialized on geography and visually impaired " Nasota nako mtaani, napiga piga tempo, wakati mwingine napiga bodaboda...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Kwa maana Wazungu hawana huo ujinga wanaweza kuandamana kupinga au kusapoti jambo fulani lkn kamwe siyo kugomea masomo, sasa huu mtindo aliuleta nani kwa maana ni kote TZ, Uganda na Kenya...
1 Reactions
25 Replies
2K Views
Naomben mnisaidie wakuu 3ti kati ya hgk na hkl ipi kombi nzur kat ya hizo mbil tu wakuu naomben majb pamoj na fact zake plz
0 Reactions
22 Replies
11K Views
Wanafunzi wa form 6 wanatarajia kuanza mitihani yao ya taifa kuanzia juma tatu.Mungu awasaidie wapate kufanya vizuri Vijana wangu wa Sengerema Boys msituangushe
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Kiswahili Lugha yetu Sote humu ndani ya hili _kundi sogozi_tunamiliki _simu tamba_. Tuweni makini kwani kutumia _sikanu_ zetu _mkondoni_ kunaweza wapa mwanya wezi wa mtandaoni kutuibia. Wezi...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naombeni jibu na itafaa zaidi likiwa na reference, asanteni.
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Kuna andiko limeandaliwa na wadau linalochambua vituko (sio dosari bali ni janga) vilivyopo katika vitabu vinavyodaiwa kuboreshwa na TIE baada ya vile vya awali kuchomwa moto. Dosari na vituko...
5 Reactions
76 Replies
8K Views
Habari wakuu,naamini mpo vzri na hzi harakati za duniani.Lengo kuomba kufaham ukitaka kusoma msters open universty gpa ya mwisho ni ngap hasa kama unataka kusoma public administration with education.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naombeni mawazo yenu ya kitaalamu wakuu kuna dogo hapa alimaliza form four mwaka 2017 alifaulu akiwa na three ya point 24 sasa anahofia akipangiwa advance atapelekwa arts mawazo ya wadau wengi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Kampala university kimefungiwa au hakijafungiwa maana nimeapply certificate ya clinical officer pale
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Back
Top Bottom