Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Naomba mwenye uelewa wa hizo code of conduct anijuze au ikipatikana document ntashukuru zaid. Nawasilisha...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba msaada wenu. Nina division 3 ya 23.nauliza itawezekana kuchaguliwa PCB kwa shule za serikali ikiwa Nina D ya chemistry na mathematics pia C ya geography na history.eti yawezekana?
0 Reactions
85 Replies
10K Views
Habari wanazuoni, mimi ni mmoja wa wadau wanaotamani sana kusoma nje (scholarship) ila shida ni kwamba kuna mtihani wa kiingereza kwaajili ya kiambatanisho cha certificate - maswali yangu ni...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ndugu zang samahanini naitaj kufahamu course hipi bora kati ya flight operation au airport operation? Hipi ina urahisi wa ajira na hata kimaslai pia.... asante sana ndugu zangu
0 Reactions
0 Replies
756 Views
Tafadhali mwenye notes za f5 za Physics naomba msaada wake
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naomba mawazo yenu wazee wa taarifa ni master degree gani naweza kusoma popote ambayo ina soko hapa nchini. Ni vyema ukanipa na wapi chuo kilipo. Thanx in advance
0 Reactions
61 Replies
14K Views
Waliosoma bachelor of information technology Naomba msaada maana nimechaguliwa NIT kwa kozi hiyo Tatizo sijui inadili na nini pia soko la ajira kwa hiyo kozi maana najifikiria kubadil kozi
2 Reactions
12 Replies
4K Views
Habari wakuu.. Msaada kwa anayefahamu chuo cha nursing kinaitwa CHIMALA kipo MBEYA kimesajiliwa na kinatambulika na serikali maana sina imani na vyuo hivi kuna mtu anataka kwenda kusoma huko...
0 Reactions
18 Replies
14K Views
Wakuu... salam kwenu. Kama kichwa cha habar kinavyonieleza kuna swali limekuwa changamoto kwetu..Natumain hapa JF litapata jibu... KARIBUNI In a form 4 class there are boys and girls. The mean...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
habari wadau, naomba wale wenye ujuzi wa Economics waje hapa wanifafanulie maana ya Gross Domestic Product (GDP) interms of Purchasing Power Parity (PPP). mie naelewa kuwa GDP (PPP) ina involve...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Another day has passed and I have Used neither Pythagoras nor Trigonometric theorem ========= Best wishes all form 6 PCM-Tanzania.
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Nisaidieni wakuu hivi udsm wana course ya maendeleo ya jamii kwa level ya degree?? Nisaidieni plzz
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wakuu, Husika na kichwa cha habari hapo, ningependa kupata ufahamu kidogo kuhusu kujifunza kwa vitendo. Nina ndugu yangu wa karibu ni mwanafunzi wa mwaka wa pili kutoka chuo kikuu Mzumbe...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa kweli shule nyingine zinajitakia matokeo mabaya bure, hii shule ya sekondari ya Taqwa imeweka utaratibu wa kulipa karo kwa awamu mbili ya mwezi Januari na Julai wakati wa kufungua shule...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Na Asha Bani - Mwanahalisi KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mkubwa katika Chuo Kikuu Kishiriki cha Ualimu Mkwawa, uliotokana na kuwalipa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama kitu hata mungu hatokusamehe ni kutumia ukweli kukandamiza maslahi ya mtu...Hii ni sawa ukamwambia mtu ile hela nimekuibia mimi ila kwa kuwa nilikuwa na matatizo... Huwezi kuleta matatizo...
0 Reactions
2 Replies
572 Views
Bado vitabu vyenye matatizo vimeendelea kutumika shuleni huku vikiwa na makosa mengi mno. Vilipotolewa vitabu vya mwanzo na TIE vilikuwa na makosa mengi sana. Bunge liliwaambia waviondoe kwenye...
3 Reactions
29 Replies
8K Views
Prof. CASMIR MUSHANGORE LUBAGUMYA has echoed remarks made recently by Ex president BENJAMIN WILLIAM MKAPA who doubles as Chancellor of university of Dodoma. H.E MKAPA said, in March 2018, that...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau wa forum hii heshima kwenu. Naomba kujua kama Usajili wa vyuo umeanza rasmi kwa mwaka huu 2018/19 kwa NACTE ama labda kama kuna linki ya za vyuo mbali mbali ambavyo vimeanza tofauti na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom