Habari wadau. Naomba niulize kuna taarifa zinazagaa vyuoni. Kwa wale waliomaliza form 4 mwaka 2015 na kujiunga na March intake 2016 hawataruhusiwa kuingia bachelor mwaka 2018/2019 .Naomba majibu...
Habarini wana JF, kuna questionnaire nimeandaa kuhusu afya na huduma zitolewazo kwenye afya ya magonjwa ya akili.
Nisaidieni kujaza hii questionnaire, kwa kuclick kwenye link hiyo chini, ili...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, MHESHIMIWA JAKAYA MRISHO KIKWETE KWENYE SHEREHE ZA UZINDUZI WA CHUO KIKUU CHA DODOMA, TAREHE 25 NOVEMBA, 2010
Mhe. Benjamin William...
Nilihitimu Form six mwaka 2014 katika shule ya ufundi IFUNDA ( IFUNDA TECHNICAL SECONDARY SCHOOL). Sasa kutokana na muda na ratiba kubana baada ya kuingia chuo, nilikuja kujua kuwa hiyo shule...
Diploma gani naweza kwenda kusomea kwa upande wa health au engeniaring ikiwa Nina division 3 ya 23?
Na nina C ya physics na biology.
D ya maths na chemistry
Hebu vuta picha, namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule ya msingi. Umepiga jaramba maili...
nianze kwa swali dogo?
Mwana fasihi ni nani?
je ni kweli Mwanafasihi ni mtu wa kwanza kuumbwa na mwenyezi Mungu ili apate kuwatumia kuujuza ulimwengu?
Nakumbuka nikiwa kidato cha tatu nilipata...
Habari za majukumu wana jf. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naombeni mnisaidie link ya kupakuwa dictionary yenye pronunciation (matamshi) ya AmE na BrE. Natanguliza shukrani zangu za dhati
PLEASE JAMAN NAOMBA KAMA HUNA CHA KUCOMENT UPITE KIMYA KIMYA MAANA HATEFUL COMMENTS ZITANIUMIZA.
Wadau wa jf mimi ni kijana nnae malizia masomo yangu ya diploma miezi miwili ijayo, ninapenda...
Jaman naomben msaada kwa anaejua processes zote za Ku apply na lini naruhusiwa Ku apply pamoja na deadline ya Ku apply kwa mwaka 2018 anisaidie.
Nataka kusoma diploma ya Clinical medicine kweny...
Natafuta watu waliosoma Ifunda Technical. Secondary school, tuongee mambo yetu kidogo, yani tukumbuke Lyandembela, Kaguo Vizibo, Per T, Kuuzoa, Serengeti, Mazengo hall, n.k na kadhalika
Shule za binafsi zilikuwa na utaratibu wa kuendeshwa kwa mihula mitatu yaani January - March; April /Masika wanakuwa likikizo; May -July; August / Vuli wanakuwa likizo, September - November...
Country: China
Bachelor Taught in English :
1. Computer Science & Technology
2. Bio-Medical Science
3. International Trade and Economics
4. Tourism Management
After Scholarship Need to Pay...
Mkuu wa mkoa wa simyu ,Mtaka kuanzisha shule kwa ajili ya wanafunzi wenye vipaji maalum ambayo itaitwa SIMIYU boys na SIMIYU girls,ambazo zitaungana na shule kama...
Enzi hizo kulikuwa na Mwl Mwangomile alikuwa akichapa balaaa.
Mwaka 1986 pale Mbata pr school Mbeya kulikuwa na Mwl dada mmoja Peter naye alikua akichapa balaaa. Sema alikua na umbo na tako zuri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.