Wakuu nilikuwa Nahitaji kujua yafuatayo
1. Je, kuna uwezekano wa kusoma master pasipo kupitia degree ya kwanza katika ulimwengu wa sasa wa kielimu na kama ndio Je nivigezo gani ambavyo vinahusika...
Habarini?
Nataka msaada wa link za vyuo vya nje ili niweze kupata online degree ya law or business au masters. Nipo kikazi mkoani na nafikiri ntakaa muda huku ,hivyo mwenye uwezo wa kunipa hata...
HABARI ZENU WAKUU...
Napenda Kuwauunganisha Form 4 wanaopenda kwenda chuo moja kwa moja, Katika Utambuzi Yakinifu wa kozi zilizo kwenye soko kwa karne hii.
Aina ya kozi nzuri ya KUSOMA kutokana...
Kama kichwa kinavyojieleza,,,,,,
Karibuni wanavyuo wote wa Tanzania tuweze kupeana updates na kubadilishana mawazo juu ya maswala mbali mbali.....
Karibuni
Mimi ni kijana niliehitimu masomo yangu ya kidato cha nne mwaka 2016 namshukuru mungu nilifaulu nilipata div II ya points 21,nilifanikiwa kupangiwa PCM shule ya lugufu mkoani kigoma lakini wazazi...
Jamani ndugu zangu mm ni mwanafunzi ninaetarajia kwenda kusoma masomo ya clinical offecer ne ni mashirika yap ua wanaweza wakanisapoti juu ya ili ata kwa kukimu ada tu.[emoji122] [emoji122]
Ndugu zangu habari zenu mm ni kijana nliehitimu masomo ya kidato cha NNE 2016 naomba ufadhili ili niweze kusoma clinical medicine mwaka huu kutokana familia yangu kuwa duni
Nitashindwa kumudu...
Wizara ya Elimu tunaomba muongozo kuna shule binafsi zinafukuza kwa kushindwa kulipa ada yote hata mtu akilipa robo tatu ya ada anayotakiwa kulipa wanafukuza wanafunzi Mfano Efatha seminary.
Amani iwe nanyi,naomba kufahamishwa shule za advance za private(boarding) zilizopo mkoa wa dar zenye ada isio zidi milioni 2,please msaada wenu waungwana.
Mimi nimemaliza kidato cha nne nataka niende chuo kusomea diploma ya clinical officer naombeni ushauri kuhusu ajira na mshahara uko vip kwa sasa.
Thanks.
Chuo Kikuu cha Manchester kimetoa nafasi za masomo kwa wanafunzi kutoka nchi kadhaa za Afrika na Tanzania ikiwamo
============================================================
Dear all ,
The...
Imenibidi niamie chumba kingine baada ya kusikia kelele chumbani ninakolala.chumba ninacholala kina taa mijusi ile myeupe upenda taa ikila wadudu wanaouluka katika taa katika utafuji wao chakula...
Wakuu salaam, kwa yeyote mwenye vitabu ntakavyo violozesha hapa chini naviomba:
1. An Introduction to C++ and Numerical Methods 1st Edition
by James M. Ortega Andrew S. Grimshaw (Author)
2...
hellow jaman, naomben msaada wenu ni njia gan au ni utaratibu upi wanaoutumia nacte kufanya udaili wa wanaafunzi kwa mwaka wa masomo 2018/2019,kwa ngazi ya cheti na diploma??
Na pia lini mwisho...
Jaman naomba msaada anaefahamu chuo, taasisi ambayo wanaweza kutoa advanced training course competently ....anijuze
Ikave kuanzia functions,macros, Visual basic applications n.k
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.