Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!
Kwa ufisadi huu wa mabilion ndani ya chama hamna lingine lakuwasaidia waalimu wanakatwa makato kumbe wachache wanayafaidi.
1 Reactions
4 Replies
957 Views
Ivi kuna ukweli gani kuhusu 2x1=2 Na 2×0=0 Naomba msaada
1 Reactions
49 Replies
5K Views
Habarini wana JF wenzangu... Mimi ni mwalimu wa "Mathematics" ambae katika degree yangu ya kwanza nilispecialize katika Maths lakini pia nilikua na courses zingine kama Educational Psychology...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hello Naomba msaada wa kuifahamu na kuijua mitihani hii na kwa Kilimanjaro naweza wapata wapi wahusika.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu, habari za majukumu. Naombeni msaada wa maelekezo jinsi ya kujisajili NACTE na kufanya Application ya chuo kwa intake ya March/April. Nahitaji kuomba nafasi ya Diploma 2018/2019 kozi ya...
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Poleni na mizunguko ya weekend. Naomba kujulishwa vyuo vinavyotoa kozi juu ya mazingira ngazi ya diploma au certificate mtaje vyuo jamani. Ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Jaman wana jf naombeni msaada wa shule ya private science ada chini ya milioni moja na nusu mkoa wowote
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Salaam wadau, natafuta kitabu cha joel osteen , blessed in the darkness, wapi naweza kipata hiki kitabu. hata kwa msaada wa kunilete nilipo dar , mi mgeni kidogo. nitakutoa gharama zako. thanks...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nina mtoto wa dada yangu anasoma HKL form five..anataka kujua vitabu gani vya kiswahili na language(literature) ambavyo ni virahisi akisoma akafaulu?? Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
5K Views
HABAR. Jaman kuna swali huwa linanisumbua naomba uliza serikali za mitaa zinaanzia ngazi gan?
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nipo peramiho songea ruvuma nahitaji mwalimu wa masomo hayo yaliyotajwa hapo juu
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wanajamvi habarini, mimi ni miongoni mwa walimu wapya walioajiriwa mwaka huu na serikali ya JK. Post yangu imepelekwa mkoa wa Mwanza wilaya ya Magu, tafadharini naomba kwa wale wenyeji wa eneo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi ni mwanafunzi ninayejisomea masomo binafsi kwa ajili ya maandalizi ya mtihani wa kidato cha sita. Naomba mwalimu yeyote aliye tayari kunifundisha General Studies anitumie sms INBOX ili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaada mwenye nayo, ama hata mwenye vitabu. Recommendations zenu pia nitashukuru sana. Mifano ya majengo ambayo ninahitaji requirements zake za design ni kama haya hapa chini. Nimejaribu google...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kila niki jaribu kutatufa B ya biologia ina ni shinda na ishia kupata C na D,na mitihani ni rahisi, kusoma na soma sana tu lakini sielewi tatizo ni nini na mtihani wa kuhitimu kidato cha sita una...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Salaam. Katika maadhimisho ya "Karume Day" Mkuu wa mkoa wa Arusha alipokuwa akitoa hotuba yake ktk uwanja wa Sheikh Amri Abeid, aligusia suala la ku-adopt mfumo wa kuwa na mtihani mmoja kwa...
0 Reactions
0 Replies
889 Views
Nina mtoto wangu wa kike,ana ndoto sana za kusoma Korea Kusini...Mwenye uelewa na uzoefu wa maisha ya Korea Kusini,anaweza kusaidia kujua maisha ya kule yapoje?Mfumo wao wa elimu je?Gharama ya...
1 Reactions
21 Replies
7K Views
Habari wa JF naomba kujua mtu ambaye anafanya kibarua yaani hana mkataba wa kazi wa aina yoyote anapaswa kulipa kodi? Naomba kuelimishwa hapa.
0 Reactions
2 Replies
752 Views
Kwenda shule ni ile hali ya kuhudhuria kwenye kituo kinachojishughulisha na kutoa elimu. Watu wengi wameenda shule .. iwe ya msingi, upili, vyuo n.k. Ila ni wachache sana ten asana walioelimika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Back
Top Bottom