Habari za Leo ndg, ningependa kujua vyuo vizuri vya afya vinavyotoa cozi ya clinical officer vilivyopo mikoa ya mwanza,Dodoma au dar, pia ningependa kujulishwa na ada zake.
Mimi ni graduate wa bachelor BED'S with ICT lakini bahati mbaya ni kuwa shule nyingi za kata ambako tunategemea kwa ajili ya tempo and part time teaching ,shule nyingi hazina computer . na private...
Habari za jioni,
1. Je, inawezekana mtu kujiunga na Certificate In Electrical engineering akitokea VETA (NTA LEVEL 2)?, yaani aruke NTA level 3
2. Kama inawezekana, Je utaratibu mzima umekaa...
Guys habari zenu, mm ni graduate wa computer science, pia ni specialist wa mambo ya network securitg. In short kat ya applications ambazo natamani kila kazi yangu niifanyie humo ni excel. Nikiri...
Kwa mujibu wa Jhumpa Lahiri katika kitabu chake cha The Namesake anasema, “ Kusoma kitabu ni kitendo cha kusafiri bila kusogea kutoka pale ulipo”. Naye David Bowie msanii ajulikanaye kama msomaji...
Habari wakuu, kuna dogo ana F ya math's but kafaulu kwa wastani masomo mengine akiwa na C zote na B ya kiswahili tu sasa alijaza PCB na ndo anatarajia kusoma advance, je anaweza kuchaguliwa au...
Habarii wanajamvi,
Naomba msaada kwa ajili ya binti yetu aliye maliza masomo Mwaka ulio pita anawastani wa history D, geography D, kiswahili D, English D, biology D, civics D, math F
Je kwa...
Nimeangalia vyuo vya south Africa ni too expensive nataka Kuomba makerere university Uganda, Bachelor of Information and security system nimecheki mengi kwenye website yao ya chuo ila nahitaji...
Please am a Form six liver in this year of 2017, am applying for applications of Advanced diploma programs, that you have introduced since May on your website, but when I fill my Form six details...
Naomba kupata ufafanuzi wa hili kwa wahusika wa mikopo ya elimu PSPF.
Ninahitaji mkopo kwa maelezo yao wanakulipia moja kwa moja chuoni ni jambo zuri, wanasema riba ni 7. 5 %kwa mwaka ambayo ni...
Baada ya kutoka kwa walaka wa NACTE kwamba wanatakiwa kufanya mtihani wa form 6,juzi kati matokeo yao yalitoka,wengi wamefauru kwa division I na II, je wanaweza kutumia matokeo hayo kujiunga na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.