Leo tar 22may 2017 katibu Mkuu wa wizara ya Maji yupo ktk chuo pekee EA knachotoa course zote zinazohusu Maji,Najua atakua na mengi ya kuzungumza na wanachuo pia na wafanyakazi wa Maji ashafka kwa...
Habari wakuu.
Labda niende straight:
Katika vyuo jipu nchini kimojawapo ni SUA.
Kinatoa kozi ambazo kiuhalisia kwenye labor market ufanisi wake ni mdogo sana, Mitaala na Programmes za SUA kwa...
Habari za mida jamani,naomba msaada wa orodha ya kozi za masuala ya uhasibu na fedha kwa ngazi ya degree,ukiweka na vyuo zinakopatikana itapendeza zaidi,ahsante wakuu.
1. Elimu Bora ya Uraia. Hapa Somo lote la Uraia/Civics lifumuliwe na watoto waanze kujifunza haki zao za kikatiba tangu ngazi za chini.
2. Katiba Ya Wananchi. Hii ni katiba itakayojumuisha zaidi...
Habari za humu wanajamii,ninakusudia kuchapisha kitabu kidogo cha kurasa kuanzia 20-25.Sina uzoefu na masuala ya uchapaji hivyo ninaomba ushauri kuhusu gharama,na kampuni za uchapaji kutoka kwa...
Naombeni msaada kwa hili kwa wenye uelewa nalo,Mimi ninasoma accounting sijui chochote kuhusu computer program na coding. Nikitaka kujifunza hivo vitu nianzie wapi wadau.
Na. Nyacki Jr [emoji871]
Kabla mwandishi hajaanza kuandika Chapters ktk utambulisho chini kabisa ya aya kuu aliandika kitu alicho kiita
"ONE SIZE DOESN'T FIT ALL"
kwa akili ya kawaida kabisa...
habari wana JF
mimi ni mwanachuo, mzumbe university mwaka wa kwanza taking BAF PS nilifanikiwa kupata mkopo, naomben ushauri hivi boom nikisave naweza nikafanyia biashara pasipo...
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
WIZARA YA MAENDELEO YA MIFUGO NA UVUVI
WAKALA WA VYUO VYA MAFUNZO YA MIFUGO - LITA
TANGAZO LA KUJIUNGA NA MAFUNZO YA STASHAHADA NA ASTASHAHADA...
Kijana,
Usipende kufeli kizembe zembe, kijinga jinga, kibwege bwege, kifala fala fulani hivi. Majira haya ya kiangazi utapeleka wapi div 3, 4 ama 0?. Ukianza maisha ya kujitegemea ndio utajua...
Habari zenu wana jf.
Leo nimeamua kulileta hili suala mbele yenu. Ni kuhusu matokeo ya rufaa kwa ujumla bila kujali ni ya mwaka gani, Matokeo ya rufaa karibu ya miaka yote sijawahi ona mtu aliye...
Habari za jumamosi wanajamii forum
Nilikuwa naomba kwa yeyote mwenye softcopy ya kitabu CONTEMPORARY ENGLISH GRAMMAR kimeandikwa na JAYANTHI DAKSHINA MURTHY au mwenye kufahamu site nzuri...
Kwa wale applicants tuliowahi kuwanyaka TCU tumekuwa na bahati hakuna presha tena.Sasa nimetupwa pale UDSM nikasome Mining.Wale wenzangu 35 wa Mining Eng na wale wa vyuo vingine program ya Mining...
Habari wakuu,nina mdogo wangu anahitimu form six mwaka huu kwa combination ya CBG,tunaimani kuwa atafaulu,ni kozi gani anazoweza kusoma kwa ngazi ya chuo kwa masomo yake hayo? Ahsanteni
Kama kunae alieomba MOFCOM scholarship katika vile vyuo 26 vilvyoainishwa kwa mwaka wa masomo 2016/17 tupeane taarifa kwani kwa maelezo nikwamba matokeo yatatolewa mwezi huu wa August tuambieana...
Habarini, Mwaka 2014 nilichaguliwa kujiunga na chuo fulani kwa ngazi ya Bachelor ya Science in Chemistry! na nikapewa mkopo nilifika chuo husika na kufanya admission, na boom la mwanzo nikapewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.