Ingawa mikopo ya elimu inatozwa riba ndogo lakini marejesho yake ni 15% ya mshahara kwa mwezi pamoja na kwamba madeni haya ni pesa ambazo zilikopwa bila kuwekezwa kwenye biashara au miradi yenye...
Habari wakuu.. Mimi nilihitimu Kidato cha NNE 2013 nikapta history B..Kiswahili C English D,,Civics D,,Geography D.Math F Bio F. Katika kozi ya Sheria,,Saikolojia na Diplomasia IPI ambayo ni...
Wanajukwaa bila ya kumung'unya maneno, tafiti yangu inaakisi kwamba wabongo waliojifunza French hapa nilipo wapo vzr sana ukilinganisha na mataifa mingine.
Ila chakushangaza hawa jamaa ambao...
Kuna nafasi kwa waliokata tamaaa baada ya kupata matokeo tofauti na malengo yao. Ni nafasi ya ufundishaji Olevel kwa aliyesoma PCM/EGM/PGM. Usikae bure kijana.ni PM nikuunganishe na mwitaji.
Wakuu,
Heri ya Pasaka, pia poleni na majukumu na mihangaiko ya hapa na pale.
Nina jamaa yangu anasoma SUA jina, Mahaja Kusekwa nimesoma nae A Level, alikosa mkopo ila muhula wa kwanza...
Habari za wakti huu;
Kuna mtu yuko mbioni kurudi chuoni akiwa na umri wa zaidi ya miaka 30 na mume pamoja na watoto.Anaenda kuanza na diploma na angependa kufahamu kama kuna watu ambao wako...
Habari zenu ndugu.Hivi karibuni nimegundua nina uwezo(sijui tuseme kipaji) cha kuandika makala. Ninaandika makala za aina mbalimbali,zikiwemo za elimu,uongozi bora,biashara na hata michezo.
Hivyo...
~je,wadau napenda kuuliza,hivi ni ukweli kwamba huu msemo ambao umetawala kwamba,kuna urafiki ambao sio wa lazima vyuoni kwamba unapata marafiki,lakini baada ya mda wanayeyuka hivi ni...
Hamjambo waungwana ...
Kila siku kilio ni kile kile kuhusu elimu kufanyiwa mabadiliko kisera. Kwa maoni yangu ni kwamba hayo mabadiliko tayari yalishafanyika ila wananchi ndo hawajajua.
a)...
Nimemaliza form 6 2015 kwa faulu mzuri tu kwenda chuo. Sema wazazi wangu wakanishauri nisiende kusoma hiyo kozi ya banking and finance sio nzuri katika kuomba transfer wakanichagulia kozi nyingine...
pliz naomba msaada wanu wana jamii forum! nitajie shule na eneo ambalo mtu akiwa anafundisha hiyo shule anaweza akawa anaishi sehemu gani au mtaani gani!ili kupata huduma za kijamiii,
Habari ya wakati huu.
Kuna huu utaratibu wa DIT wa kuretake somo kwa wale watu wa diploma.Kuretake somo kunatokea endapo utashindwa kufikisha coursework/course assessment(CA) ya somo...
To all people who want to join with high education for undergraduate and postgraduate degrees in Tanzania and in other African countries. I am hereby bringing to you the lists of top universities...
Hello guys, HIVI MME-NOTICE HII?
Kwa miaka ya zamani ilikuwa ni jambo lililozoeleka kuwa boys ndo hushika nafasi ya kwanza kitaaluma, aidha ki-darasa, kimkoa, au kitaifa linapokuja swala la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.