Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Selemani Jafo amesema uamuzi wa Serikali kuwahamisha baadhi ya Walimu wa shule za Sekondari wanaofundisha masomo ya sanaa...
Wakuu,
Kabla ya yote ningependa kutoa rai kwamba uzi huu ni maalum kwaajili ya kujenga hoja na kujadili kuhusu tofauti katika performance ya shule hizi na si kuleta hoja za...
Salam wapendwa katika
Naomba kujuzwa kutoka kwenu
Nimemaliza kidato cha 4 mwaka Jana matokeo yakawa kama ifatavyo
Phys -C
Chemistry-C
Biology-C
Geography-C
Civics-D
Literature-D
B/math-F...
I say this because intelligence and education are often used interchangeably. Today, many believe education is an accurate result and reflection of ones IQ. However, I strongly believe two things...
UHAMISHO WA WATUMISHI MSM Februari 2018
05-02-2018.
Tangazo Umma.
Tangazo kwa Walimu wote waliomba kuhamia Mkoa wa Dar es Salaam
Orodha ya Majina ya Uhamisho wa Watumishi wa MSM Januari 2018...
Habari, tumeanza program mpya ya Nursery Teaching course, sifa muhimu ni mwambaji awe amehitimu kidato cha nne na kufaulu kwa D tatu ikiwemo English language. "learning for life"
Call us today...
Habari zenu wakuu..
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu,kwa ufupi Mimi in kijana niliyefanikiwa kuonja ladha ya elimu ya chuo.Nimesoma chuo Fulani maarufu hapa nchini course ya...
Kama nilivyoeleza apo juu.... mimi ni mmoja kati ya tuliochaguliwa second round ya multiple selection na kucomfirm IFM lakini mpaka leo sijapata admission namba na Leo nimeona new news...
Chakula cha akili (Mental food) Lesson 1.
Karibu kwenye darasa ambalo mwalimu ni UBONGO (brain) na mwanafunzi ni mimi na wewe, darasa hili litakuwa na somo KUU moja (One main subject of study)...
Wanafunzi wamehitimu mwezi wa kumi mwaka jana hadi sasa matokeo bado hayajatoka.
Tatizo ni nini? Mtayatoa lini hayo matokeo? Kwa nini mnachelewesha matokeo kiasi hicho hadi wanafunzi wanakataa...
Habari wadau wa JF,
Leo nimefanikiwa kununua scientific calculator "original" kwa vigezo mlivyonipa humu, Nimeinunua "Mnazi mmoja" kwa duka la muhindi na akasema kama italeta shida niirudishe...
PUBLIC NOTICE FOR MARCH/APRIL, 2018 ADMISSION CYCLE FOR ACADEMIC YEAR 2018/2019
This is to kindly inform that, the Ministry of Education, Science and Technology via its letter with Ref. No...
Kama Mwananchi wa kawaida lazima nipige kelele kwa nguvu kabisa umma usikie, kile chuo kinaendeshwa kiujanja ujanja hakuna utaratitibu unaoeleweka. Wanafunzi wanateseka, uongozi unapishana...
Wakuu Kwa wale wazoefu naomba ufafanuzi wa nani anahusika kujaza kozwek za research proposal. Na wanatumia vigezo gani na vip alama za final na coursework inawezekana ukatofautiana? Au inakua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.