Katika hali isiyokuwa ya kawaida jana Mfanyabiashara mmoja mkubwa tu wa Mkoa wa Mtwara na ambaye pia ana Kampuni yake kubwa hapa nchini alisababisha Ukumbi mzima wa IKULU kupata ' mshtuko ' mara...
Habari wakuu?
Nafikiri lingekuwa jambo jema sana kama, final examinations kuanzia darasa la nne, saba na kidato cha pili, nne, sita hadi university examinations wawe wanarudisha kama feedback kwa...
ELIMUKOMBOZI
1.0 Utangulizi
Elimu ni suala la jamii ambalo mipango na taratibu zake zinahitaji kushirikisha wadau wote katika jamii. Madhumuni ya Elimu kwa ujumla ni kuifanya dunia kuwa mahali...
Habari za Alasiri wana JamiiForums
Nilishawah kuwauliza humu watu wengi kuhusu shida yangu lakini wakanipuuzia na ni wachache sana walionipa maoni.
Suala lililokuwa ninalisumbua ni hili.
JE ni...
Hivi UDSM hakuna course za diploma,mbona kwenye ile online application system yao hakuna mahala pa diploma kutuma application za engineering,kuna nini hasa wajuzi nisaidieni.
Jamani naombeni msaada kuhusu vyuo vya binafsi vya ualimu vinavyotoa stashahada ya ualimu sekondari-elimu ya michezo, kwa yeyote anaefahamu baadhi ya vyuo hivyo nijuzeniiiiiiiiiii
Habari! Nauliza tuu jamani je, inawezekana mwalimu akafanya kazi nyingine tofauti na ya ualim? Mfano utendaji wa kijiji, kata au hata ustawi wa jamii? Na vipi anaweza kuomba ajira kama hizo na...
Jamani mnazikumbuka enzi zile za miaka ya 90, Umiseta ndio ilikuwa sehemu ya kupatia wachimba, hasa sisi watoto wa geti kali pale Loleza.
Iyunga zao ilikuwa ni fujo tu, kutongoza walikuwa hawawezi.
Wakuu heshima kwenu!
Kuna waalimu kadhaa wamesi mamishwa kazi kutokana na TUHUMA za/ya;-
1.KUTEMBEA NA WANAFUNZI (NGONO),
2.KUWAPA WANAFUNZI SIMU ILI KUONGEA NA WAKWAO,
3.UTORO KAZINI (KUCHELEWA...
Jamani kuna Watu Mashuleni na Vyuo Vikuu wanajua kupiga chabo ( Kuibia ) hadi unakuta muda mwingine Mtu unafanya Mtihani na unabakia tu ' Kucheka '. Unakuta Mtu ana Jicho Kubwa tu lakini pale...
TANGAZO TANGAZO
Uongozi wa serikali ya wanafunzi COBESO unapenda kuwaarifu uma wa wana CBE kuwa LEO tarehe 16/03/2018 siku ya Ijumaa tutakuwa na ugeni mkubwa sana hapa chuoni kwetu wa watu hawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.